Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, December 9, 2018

Diamond Amnyooshea Mikono Juu Young Killer Wasafi Festival

Show ya rapa Young Killer Msodoki Wasafi Festival mkoani Sumbawanga imemfanya rais wa WCB, Diamond Platnumz kutoa kauli yake juu ya uwezo wa kijana huyo.

Rapa huyo usiku wa kuamkia Jumamosi hii alipandishwa stejini na kitanda cha wagonjwa akionekana kuwa hoi huku akiwa amefungwa bandeji mkononi na kichwani lakini baada ya kusikia shangwe la mashabiki wake hao aliinuka kitandaoni na kuanza kufanya show.

Baada ya show hiyo, mratibu wa Tamasha hilo Diamond Platnumz ameibuka na kumwagia sifa nyingi rapa huyo kijana.

"Wengi, Hawakunielewa kwanini Your My Favorite Rapper..!!! na Wakastaajabu kabisa kuona eti Diamond kaacha Wanigeria kamshirikisha @youngkillermsodokii kwenye PAMELA…. Hawakukiona Nilichokiona Ndani YaKo….NOW kupitia #WasafiFestival2018 THEY SEE!!!\nSUMBAWANGA!!!! SUMBAWANGA!! nimewaahidi na tunafanya Hivyo, kuanzia saa sita njoo na familia Nzima #WasafiFestival2018 leo inafanyika BUUUUUURE Pale Viwanja vya NELSON MANDELA… kuanzia saa sita MCHANA hadi saa MOJA usiku MWISHO!!!!… Tunaimba na KUCHEZA ngoma ZOTE!!! @WasafiTv"

Toka rapa huyo apate show za Wasafi Festival ameamua kuwa mbunifu katika show zake zote alizofanya. Angalia full video hapo chini.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )