Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, December 23, 2018

Diamond, Natasha Mapenzi Motomoto Usipime....Tazama Hapa Alichoandika

Penzi la msanii pendwa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na mrembo kutokea nchini Kenya linazidi kushamiri.

Kwa sasa Diamond haambiwi wala hasikii juu ya penzi la Bibie, mwenyewe amekiri hilo.

"Basi Mie Nae Nikiingiaga Kwenye Mapenzi, Nazamaga Mzima Mzima kama Boya...Matokeo yake Nikizinguliwa Naanza Kutoa Povu...😤🙆🏻‍♂️😀 Hivi Mdogo angu @mbosso_ Umemeza Kamusi ya Maneno ya Mahaba au???? na hii nyimbo kwani Unaiachia lini???" ameandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Natasha ndiye mrembo wa kwanza kwa Diamond Platnumz kumuweka wazi kuwa yupo naye mapenzini baada ya kuachana na mzazi mwenzie, Zari The Bosslady.
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )