Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, December 16, 2018

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA , Salum Mwalimu Akamatwa na Jeshi la Polisi Iringa

adv1
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, leo Jumapili, Desemba 16, 2018 amekamatwa na polisi Mafinga mkoani Iringa akiwa anaelekea kwenye kikao cha ndani cha chama chake.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene amesema Mwalimu alikamatwa akiwa katika gari akielekea katika kikao hicho, akitokea Kanda ya Nyasa.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )