Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, December 7, 2018

Ofa! Sale! Tumeshusha tena bei za Viwanja: Bunju na Mapinga Dar

Ofa! Sale! Tumeshusha tena bei za Viwanja: Bunju na Mapinga

Tumeamua kufunga mradi wetu wa viwanja vilivyopimwa; Mapinga na Bunju kwa kushusha bei maradufu ili kumfanya Mtanzania mwenye uhitaji wa Ardhi (Kiwanja) apate kulipia haraka na kumilikishwa kiwanja chake. Ofa hii inaanza leo mpaka tarehe 30 dec

Kwa Mapinga vipo viwanja vifuatavyo:
sqm 400 kwa bei ya tsh 4,000,000/=
sqm 450 kwa bei ya tsh 4,500,000/=
sqm 800 kwa bei ya tsh 8,000,000/=
sqm 1,120 kwa bei ya tsh 11,200,000/=
sqm 1,364 kwa bei ya tsh 13, 640,000/=
sqm 1,600 kwa bei ya tsh 16,000,000/=
sqm 1,900 kwa bei ya tsh 19,000,000/=
sqm 2,400 kwa bei ya tsh 28,000,000/=
sqm 3,000 kwa bei ya tsh 34,000,000/=
Viwanja hivi viko umbali wa km 3 tu kutoka main raod (Bagamoyo Road)

Kwa Bunju vipo viwanja 2 tu kama ifuatavyo:
sqm 600 kwa bei ya tsh 18,000,000/=
sqm 1700 kwa bei ya tsh 51,000,000/=
Viwanja hivi viko umbali wa km 1 tu kutoka main raod (Bagamoyo Road)

Biashara hii haina dalali, mpigie mhusika: 0758603077, whatsap 0757489709
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )