Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, December 9, 2018

PICHA: Nikki wa Pili amvisha pete ya uchumba mpenzi wake

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki wa Pili amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake. 

Rapa huyo kutoka kundi la Weusi amefikia hatua huyo ikiwa ni wiki kadhaa tangu Bibie kuhitimu elimu yake ya Chuo Kikuu. 
 
Tazama picha zaidi chini;
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )