Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, December 9, 2018

Shoo Ya Diamond Tamasha la Wasafi Festival Sumbawanga Yaahirishwa

adv1
Tamasha la Wasafi Festival lililokuwa likifanyika jana (Jumamosi) usiku limeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na hivyo kushindwa kuendelea.

Hata hivyo onesho hilo lililokuwa likifanyika katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini hapa liliahirishwa huku wasanii Country Boy, Queen Darlin, Gigy Money, Lavalava na Young Killer  wakiwa tayari wameshamaliza kupiga shoo zao jukwaani.

Kutokana kuahirishwa kwa tamasha hilo Msanii Diamond Platnumz alipanda jukwaani na kuwaomba radhi mashabiki waliokuwa uwanjani hapo na ambapo alitangaza kuwa Tamasha hilo litaendelea tena uwanjani hapo leo Jumapili jioni kuanzia saa 10:00.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )