Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Thursday, January 24, 2019

Alichokisema Rayvanny baada Kutolewa Kifungoni na BASATA

Msanii wa Muziki kutoka lebo ya WCB, Rayvanny ameeleza vile anavyojisikia baada ya kufunguliwa na Baraza la Sanaa la Taifa-BASATA.

Rayvanny na Diamond Walifungiwa kujihusisha na sanaa kwa muda usiojulikana  baada ya kutoa Wimbo wa Mwanza, ambao haukuwa na maudhui mazuri.

Rayvanny ameiambia Wasafi Tv amelishukuru Baraza, Wizara na Serikali na wale wote waliokuwa wanatamani wao wafunguliwe.

"Kiukweli unapopata habari nzuri lazima ufurahi, kiukweli nimefurahi sana, kwasababu nilikuwa kwenye situation ambayo ni sintofahamu kiukweli then hivi vitu ndio first time kuviface hivi vitu, niseme tu nashukuru serikali, nashukuru Baraza, Wizara pia nawashukuru na wale waliokuwa wanatamani sisi kufunguliwa," amesema Rayvanny.

Msikilize Hapo chini
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )