Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, January 8, 2019

Alikiba kushiriki kwenye EP ya Muimbaji kutoka nchini Nigeria, Timaya

adv1
Muimbaji kutoka nchini Nigeria, Timaya ameweka wazi kuwa Alikiba ni miongoni mwa wasanii watakaoshiriki kwenye EP yake ambayo ipo mbioni kutoka.

EP hiyo ya Timaya inakwenda kwa jina la Chulo Vibe, kupitia ukurasa wake wa Instagram ndipo Timaya ameeleza hili.

"My Brother Alikiba from Tanzania came through on the EP Chulo Vibes," ameeleza.  
 
Ukiachana na hilo, pia kuna taarifa za Alikiba kutoa albamu kwa mwaka huu ingawa bado hilo halijathibitishwa.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )