Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, January 29, 2019

Aliyekuwa Mkurugenzi NIDA Afikishwa Mahakamani Tena

Aliyekuwa  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA), Dickson Maimu na wenzake sita leo Jumanne Januari 29, 2019 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Maimu na wenzake hao jana Jumatatu Januari 28, 2019 walifutiwa mashtaka na mahakama hiyo lakini muda mfupi baadaye washtakiwa hao walikamatwa tena na polisi.

Wamefikishwa mahakamani hapo leo asubuhi na kupelekwa moja kwa moja katika chumba cha mahabusu kilichopo mahakama hapo.

Hata hivyo,  haijajulikana watapandishwa mahakamani saa  ngapi na kujibu mashtaka gani.
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )