Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, January 23, 2019

Kamati Ya Nidhamu Fifa, Yamfungia Wambura Maisha

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetangaza kumfungia Michael Wambura maisha.Kifungo hicho kinamfanya Wambura kutojihusisha na soka maisha.


Michael Wambura alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF katika uchaguzi mkuu wa mwezi Julai mwaka 2017, kabla ya kufungiwa na shirikisho hilo mwaka uliopita kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.

Alikata rufaa Mahakamani, ambapo Mahakama iliamuru kurejeshwa katika nafasi yake mwishoni mwa mwaka uliopita lakini TFF ilikata rufaa FIFA.

tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )