Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Thursday, January 24, 2019

Lulu Michael: “Nimeamua kuuza nguo zangu nipate pesa”

Wakati Siku ya Wapendanao — February 14 mwaka huu —  inakaribia,  staa wa filamu,  Elizabeth Michael Lulu,  amekuja na kitu kwaajili ya siku hiyo na kuipa jina la “Save My Valentine”.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Elizabeth Michael  ametoa ufafanuzi kuhusiana na siku ya wapendanao baada ya siku kadhaa kupita kuwahi kutangza kugawa nguo zake pamoja na viatu lakini kupitia siku hiyo ya February 14 amekuja na kitu cha tofauti.
 

“Wakati Wengine Tumepata Fursa Ya Kuwa Na Furaha Kwa Vile Tulivyonavyo Kuna Baadhi Ya Wenzetu Wamekosa Nafasi Hiyo….. Na HUU NI MPANGO WA MUNGU🙏Kuelekea Siku Ya Wapendanao Februari 14,Nimeamua Kuuza Sehemu Ya Nguo Zangu Ambazo Yawezekana Umeshawahi Kuziona au Haujaziona”

“Na Pesa Yote Itakayopatikana Kupitia Mauzo Haya Itaenda Kusaidia Vitu/Watu Wenye Uhitaji Katika Jamii.Please Join me to Save My Valentine.#Savemyvalentine “ Ameandika

tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )