Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, January 4, 2019

Nguvu ya Miti Katika Kubatilisha Uchawi....Sehemu ya Kwanza

adv1
Na. DOKTA  MUNGWA  KABILI……0744  000  473.
Miti  ina  nguvu  sana  katika  uganga  na  uchawi.  Karibu  asilimia  tisini  ya  nguvu  za  uganga  na uchawi  inatokana  na  miti.

Katika  mfululizo  wa  makala haya  nitaelezea  nguvu  ya  miti  mbalimbali  katika  uganga  na  uchawi.

==>>Nguvu  Ya  Miti  Katika  Kuondosha  Matatizo  Ya  Kimaisha  Yanayo  Sababishwa  Na  Wachawi  Pamoja  Na  Majini  Wa  Kisheitwani ( Nuksi, Balaa  Na  Mikosi  )

Katika  kukabiliana  na   vifungo  mbalimbali  vya  kichawi, ipo  miti  mingi  sana  inayo  tumika.  Miti  hii  hufanya  kazi  kufungua vifungo  vya  kichawi  vya  aina  zote pamoja  na  kuondosha  nuksi, mabalaa  na  mikosi  mbalimbali  inayo w asumbua  wanadamu.

Katika   sehemu  ya  kwanza  ya  makala  haya  tutaitazama  miti  ya  aina  tano  kama  ifuatavyo :

MTI  NAMBA  MOJA :  Huu  ni  mti  wa  porini ambao  ukiwa  mbichi  unatoa  harufu  yenye  kunukia  kama  udi.   Ni mti wenye  matumizi  mengi  sana  katika  uganga.  Moja  kati  ya  matumizi  ya  mti  huu  ni  kufungua  vifungo  vya  kichawi  hasa  hasa  vifungo  vilivyo  shindikana.

Kama  unataka  kujifungua  vifungo  vya  kichawi  kwa  kutumia  mti  huu  basi  tafuta  kamba  ya  kuokota  ikiwa  imefungwa  fundo  (  Kamba  kama  hizi  unaweza  kuzipata  sehemu  kama  majalalani  nakadhalika )

Kamba  hiyo  utaiokota  kwa  mguu  wa  kushoto  na kuipokea  kwa   mkono  wa  kushoto  na  kwenda  nayo  hadi  nyumbani  kwako.

Ukifika  nyumbani  kwako  utaifungua  kwa  manuizi  yafuatayo.  “ WEWE  KAMBA  UMEFUNGWA  NA  MIMI  NIMEFUNGWA.  ALIEKUFUNGA  SIMJUI  NA  MIMI  ALIYE  NIFUNGA  SIMJUI.  SIJUI   KAMA  UMEFUNGWA  NA  MWANAMKE  AU  UMEFUNGWA  NA  MWANAUME   NA  MIMI  SIJUI  KAMA  ALIE  NIFUNGA  NI  MWANAMKE  AU  MWANAUME.  NINAKUFUNGUA  WEWE  NA  MIMI  NAJIFUNGUA. KAMA  ALIYE  NIFUNGA  NI  MWANAMKE  NAJIFUNGUA.  KAMA  ALINIYE  NIFUNGA  NI  MWANAUME  NAJIFUNGUA.

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )