Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, January 28, 2019

Stendi mpya ya mabasi Dodoma mbioni kukamilika

adv1
Kituo cha kisasa cha mabasi jijini Dodoma kitakuwa kimekamilika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, imeelezwa.
 
Hayo yalielezwa juzi na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mohammedi Builders, Tahir Mustapha alipozungumza na waandishi wa habari.
 
Kampuni hiyo ndiyo inajenga soko la kisasa na kituo hicho cha kisasa eneo la Nzuguni jijini hapa.
 
Mkurugenzi huyo alisema mradi wa ujenzi wa stendi unaendelea vizuri na mpaka ifikapo mwisho wa mwaka huu utakuwa umekamilika.
 
Alisema kampuni yao ni ya kizalendo na wanamshukuru Rais kwa kutoa maelekezo makampuni ya wazawa yapewe nafasi katika miradi mikubwa.
 
Mkurugenzi huyo aliahidi kuitekeleza miradi yote kwa wakati kutomuangusha Rais Dk. Magufuli.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )