Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, January 4, 2019

Taarifa MUHIMU Toka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais IKULU Asubuhi Hii

adv1
Mhe. Rais Magufuli leo Januari 04, 2019 atashuhudia utiaji saini mkataba wa mauziano ya mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kuanzia saa 5:00 asubuhi. 

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa tukio hili litarushwa LIVE kupitia Redio, TV, http://www.ikulu.go.tz,  youtube na Mitandao.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )