Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, January 30, 2019

Wadau Wa Sekta Ya Uvuvi Watakiwa Kutoa Maoni Ya Rasimu Za Sheria

adv1
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. LUHAGA JOELSON MPINA (Mb), anakaribisha wadau wa Sekta ya Uvuvi, kutoa maoni kuhusu rasimu za Sheria za Uvuvi na Sheria mpya ya Ukuzaji Viumbe Maji.

RASIMU hizo zinapatikana kwenye tovuti: www.mifugouvuvi.go.tz

TOA maoni kupitia barua pepe maalum ambayo ni; maoni@uvuvi.go.tz

Lengo kuu la kupokea maoni ni kuwashirikisha wadau katika kuboresha Sekta ya Uvuvi nchini.

Tafadhali tunaomba ushirikiano wako katika kuufahamisha umma ili uweze kushiriki katika maoni haya muhimu kwa Sekta ya Uvuvi.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )