Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, January 7, 2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amjulia Hali Dkt Salim

adv1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakimjulia hali Waziri Mkuu, Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim jana jijini Dar es Salaam Januari 6, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisindikizwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt Salim Ahmed Salim wakati alipomjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam, Januari 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisindikizwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam Januari 6, 2018. Watatu kushoto ni Mama Amen Salim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )