Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, February 23, 2019

Halima Mdee Aitwa Polisi Kwa Mahojiano

adv1
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halime Mdee ameitikia wito wa Polisi Kinondoni jijini Dar es Salaam aliotakiwa kufika leo Jumamosi Februari 23,2019.

Mdee kupitia akaunti yake ya Twitter ameandika, “Nimepata wito wa kuitwa Polisi Oysterbay kwa mahojiano.Mpaka sasa sababu ya wito ni nini. Ngoja tujongee.”
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )