Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, February 4, 2019

Irene Uwoya Amwaga Ajira Kwa Vijana 30

adv1
Mwigizaji kiwango wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ametoa ajira kwa vijana 30 wa Jiji la Dar es Salaam watakaohudumu katika baa yake mpya New Last Minute Pub itakayozinduliwa Februari 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
 
Akizungumza baada ya usaili uliofanyika jana, Sinza Mori chini ya majaji, Johari na Miriam Ismail ‘Mama Kubwa’, Uwoya alisema mamia ya vijana wamejitokeza kuwania nafasi hizo za kazi na 30 wamebahatika katika nafasi za wahudumu, mhasibu na meneja.
 
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )