Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, February 4, 2019

Mbaroni kwa Kumbaka Mtoto wa Miaka 6

Polisi mkoani Tabora wanamshikilia mkazi wa kitongoji cha Utemini kata ya Ushokola wilayani Kaliua, Amos Zakaria kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka sita.

Akizungumza leo Jumatatu Februari 4, 2019 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Emmanuel Nley amesema tukio hilo limetokea jana saa sita mchana.

Amesema mtuhumiwa alimvizia binti huyo wakati anapita na kumvutia bafuni kisha kumbaka.

Amesema polisi walimkamata na baada ya kukamilisha maelezo atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )