Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, February 11, 2019

Michael Wambura ametangaza kuachana na soka

adv1
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kupitia kwa Mwanasheria wake Emmanuel Muga imeelezwa kuwa ameridhia adhabu ya kufungiwa Maisha na TFF na FIFA.

Pamoja na hayo Wambura kupitia kwa mwanasheri wake Emmanuel Muga ametangaza kuwa kwa sasa kuanzia leo February 11 2019, anaachana rasmi na shughuli za mpira wa miguu, atabaki kama mtu wa kawaida tu.

Hata hivyo Wambura pia ameamua kufuta kesi zote alizokuwa amezifungua kuhusiana na kupinga maamuzi ya kamati ya maadili ya TFF.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )