Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, February 3, 2019

Mwana FA aiangukia TFF


Baada ya timu ya Simba SC kupata kichapo cha  5-0 kutoka kwa waarabu shabiki wa timu hiyo ambaye ni Msanii wa Muziki nchini Mwana FA amelitaka Shirikisho la mpira wa miguu TFF kutoahirisha mechi ya watani wa jadi (Simba & Yanga) kwa sababu yoyote.

Mwana FA ameyasema hayo baada ya kejeli za mashabiki wa Yanga kuzidi ambapo ametaka wakutane ili kuwaweka sawa.

"Ndugu zangu TFF, kwa hisani yenu msiahirishe mechi ya tarehe 16 kwa sababu yeyote ile iliyo ndani ya uwezo wa kibinadamu, kuna maneno yametukera tunataka tuwekane sawa. Ahsanteni".

Mechi ya marudio ya Simba na Yanga inatarajiwa kuchezwa  Februari 16 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )