Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, February 5, 2019

Spika Ndugai: Heche Jiandae Kuachia Jimbo 2020

adv1
Spika wa Bunge la Jamhuri Job Ndugai amemwambia John Heche, Mbunge wa Tarime Vijijini kwamba, uchaguzi mkuu ujao jimbo hilo litarudi CCM mapema bila upinzani wowote.

Ndugai  Alitoa kauli hiyo jana ambapo alisema, kuna ufujaji mkubwa wa miradi ya serikali licha ya mbunge wake kuwa mpinzani na mpiga kelele kwa mambo yasiyo na msingi.

"Kama kuna kitu kimenishangaza ni taarifa za Tarime, sisi sote ni madiwani ambao lazima tujue miradi iliyoko kwenye majimbo yetu, sasa kama mtu ameshindwa kusimamia Sh9 bilioni Tarime hivi mwakani atasema nini," alisema Ndugai.

Alisema uchaguzi wa mwakani jimbo la Tarime kutakuwa na wimbo mmoja tu wa bilioni 9 na ushindi utakuwa mapema.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )