Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, February 13, 2019

TANZIA: Msanii Godzilla Afariki Dunia

Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop Golden Mbunda maarufu Godzilla amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, February 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar.

Mwili wa marehemu umepelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam na msiba upo nyumbani kwao Salasala.
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )