Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, February 8, 2019

Tetema ya Rayvanny yashindwa kuvunjwa rekodi ya Diamond

Wimbo mpya wa msanii Rayvanny na Diamond Platnumz 'Tetema' unazidi kufanya vizuri mara baada ya video ya wimbo huo kutoka.

Video ya wimbo huo imeweza kufikisha watazamaji (views) Milioni 1 kwenye mtandao wa YouTube ndani ya saa 17 pekee.

Hata hivyo Rayvanny ameshindwa kuifikia rekodi ya Diamond kupitia wimbo wake 'Hallelujah' aliowashirikisha Morgan Heritage ambao ulifikisha watazamaji Milioni 1 ndani ya saa 15 pekee.

Utakumbuka September 2016 video ya wimbo, Salome ambao Diamond alifanya na Rayvanny uliweza kufikisha watazamaji Milioni 1 ndani ya siku mbili pekee rekodi ambayo ilikuja kuvunjwa na wimbo wa Alikiba ambao ulifikisha idadi hiyo ya watazamaji kwa saa saa 37.

==>>Itazame hapo chini
Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...