Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, February 1, 2019

Waziri Makamba atolea ufafanuzi sakata la ubaguzi wa ajira taasisi za muungano

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, January Makamba ametolea ufafanuzi juu ya ubaguzi wa ajira katika taasisi za muungano.

Makamba alikuwa anajibu swali la Mbunge wa Welezo, Saada Mkuya (CCM) bungeni mjini Dodoma leo Ijumaa, Februari 1.

Mkuya ametaka kujua ni ajira ngapi zinapatikana kwa Wazanzibar kupitia makubaliano ya kutatua kero za Muungano.


==>>Msikilize hapo chini

tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )