Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, March 1, 2019

Breaking News: Edward Lowassa Atangaza kuhama CHADEMA na kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo

adv1
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Machi Mosi 2019. 

Lowassa ambaye alikuwa Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA alihama CCM na kujiunga CHADEMA, Julai 2015 ambapo aligombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho.

Amepokelewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli  katika ofisi ndogo za chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam


Akizungumza kwa kifupi wakati wa hafla hiyo, Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema, "Kama alivyosema Waziri Mkuu Mstaafu, Lowassa, amerudi nyumbani. Kwa hiyo tunaanza kazi ya kujenga taifa letu, na kulinda uhuru wetu."

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )