Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, March 18, 2019

Daladala Zagoma Mbeya

Madereva wa daladala jijini Mbeya wamegoma kusafirisha abiria tangu alfajiri ya leo kwa kile walichokilalamikia madereva wenzao wa bajaji kufanya usafirishaji kwenye barabara kuu na kupelekea wao kukosa mapato.

Usafiri unatumika kwa sasa ni bodaboda, gari ndogo za kubeba mizigo maarufu ‘kirikuu’, bajaji pamoja na Noah.

Baada mgomo huo Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani limefika kwenye vituo kutoa msaada kwa wanafunzi kwa kusimamisha mabasi yanayotoka Kyela na Iringa ili kuwasafirisha wanafunzi
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )