Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, March 21, 2019

Makamu Wa Raisa Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Mwakilishi Mkazi Wa Un Women

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa  linaloshughulikia Masuala ya Wanawake (UN-Women) Bi. Hodan Addou aliyeambatana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine Mwakilishi huyo wa UN-Women alizungumzia kazi mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo hapa nchini hususani katika kushirikiana na Serikali katika miradi mbalimbali ikiwemo Mkakati wa Kukuza Uchumi na kupumguza Umasikini Tanzania(MKUKUTA) na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini Zanzibar (MKUZA).
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )