Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, March 1, 2019

Updates: Mwili wa Ruge Mutahaba Wawasili Nchini....Safari ya Kuelekea Hospitali ya Lugalo Imeanza

Mwili wa  Mkurugenzi  wa Vipindi na Uzalishaji  Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba  umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Aliyeongoza mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutahaba ni Waziri January Makamba akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es aalaam pamoja na Mkurugenzi wa Clouds Media Group.
Gari lililobeba mwili wa marehemu Ruge Mutahaba likiwa linaondoka Airport kuelekea hospitali ya Lugalo.
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )