Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, April 13, 2019

Rais Magufuli Ampandisha Cheo Kanali Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali

adv1
Rais Magufuli amempandisha cheo aliyekuwa  Kanali, Charles Mbuge kuwa Brigedia Jenerali baada ya kufurahishwa na utendaji wake wa kazi katika kusimamia ujenzi wa miradi mbalimbali ya serikali ikiwemo ujenzi wa ukuta wa Mererani.

“Ninawapongeza maofisa walioshiriki kukamilisha mradi huu na Kanali Mbuge alisimamia ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali pamoja na ukuta wa Mererani hivyo kuanzia leo atakuwa Brigedia Jerenali sitaki kuchelewa hivyo ninataka CDF ukafanye utaratibu wa vile vinavyotakiwa kuwekwa kwenye mabega awekewe,” amesema

Hata hivyo , baada ya kauli hiyo, taratibu za  kumtunuku vyeo kwa nafasi hiyo ya Brigedia vimefanyika na Mbuge akatunukiwa kuwa Brigedia Jenerali kamili hapo hapo mbele ya rais Magufuli.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )