Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, August 3, 2019

PICHA: Waziri Lugola Aongoza Kikao Cha Tume Ya Utumishi Ya Polisi, Uhamiaji Na Magereza Jijini Dar Es Salaam, Leo

adv1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara yake.
Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. wapili kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF), Thobias Andengenye, na kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 

   Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) akizungumza katika Kikao cha Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo katika Wizara hiyo. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Waziri wa Wizara hiyo, Kangi Lugola.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara yake. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia meza kuu) akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara yake. Kikao hicho kilifanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )