Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na
Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya
18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia
ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi
Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth
Magufuli wakitoa sadaka pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki
wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam
katika Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule leo
Jumapili Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth
Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa
Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Jumapili
Agosti 04, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth Magufuli wakipeana mkono wa Amani na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki walioshiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth
Magufuli wakitoka nje na kusalimiana na waumini wenzao baada ya Misa
Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka "C" katika Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Agosti4,
2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Simon Sirro nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaamleo Jumapili Agosti 04, 2019.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia IGP Simon
Sirro na kijana fulana maalumu za sherehe ya kutimiza miaka 75 Muadhama
Polycarp Kadinali Pengo baada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya
Mwaka "C" katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar
es salaam leo Jumapili Agosti4, 2019

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia muumini Rosari
baada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka "C" katika Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili
Agosti4, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisaliana na muumini na mtoto wake mara baada
ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Agosti 04, 2019.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )