Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana leo August 2 amemkabidhi Rais Uhuru Kenyatta zawadi ya Tausi
4 aliyopewa na Rais Magufuli alipomtembelea Chato.
Akipokea Tausi hao Kenyatta amesema hiyo ni ishara tosha ya umoja, upendo na undugu uliopo kati ya Kenya na Tanzania.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )