Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, September 9, 2019

Jeshi la Polisi Latumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wanafunzi Chuo cha Ualimu Moshi Wanaodai Kutapeliwa Zaidi ya Milioni 75

adv1
Jeshi la Polisi limezuia maandamano ya wanafunzi zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, kisha kuwakamata baadhi yao baada ya kufunga barabara wakishinikiza serikali kuingilia kati sakata la utapeli wa zaidi ya milioni 75 za malipo ya ada.

 
Shinikizo hilo linachukuliwa na Wanafunzi hao baada kuzuiliwa kuingia kwenye chumba cha mtihani kutokana na Malipo yao ya Ada waliyolipa kupitia Benki  kutoonekana kwenye account  ya chuo hicho
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )