Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, September 23, 2019

Ndege Yaanguka Serengeti na Kuua Watu Wawili

Rubani na abiria mmoja  wamefairiki Dunia, katika ajali ndege ya Kampuni ya Auric Air, kufuatia kuanguka asubuhi ya leo katika Uwanja wa ndege mdogo Seronera, Serengeti. Waliofariki wote ni Watanzania.

Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ambapo ilikuwa ikiruka kutoka Serengeti kwenda Arusha baada ya kushusha watalii

Kamishna Msaidizi mwandamizi wa shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete amethibitisha kutokea  kwa ajali hiyo ambapo amesema taarifa zaidi watatoa baadaye.
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )