Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, September 19, 2019

PICHA: IGP Simon Sirro Alivyokabidhiwa bendera na kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika EAPCCO.

adv1
IGP Simon Sirro amekabidhiwa bendera na kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika EAPCCO. 

Umoja huo unaundwa na nchi za Burundi, Comoros, Djibouti, DRC, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, South Sudan, Sudan, Tanzania na Uganda.
IGP wa Sudan Adil Mohamed Ahmed, akikabidhiwa bendera ya Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika ili aweze kumkabidhi IGP Sirro, ishara ya kumwachia kijiti cha uenyekiti wa Shirikisho kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ni miongoni mwa wanaoshuhudia IGP Sirro akikabidhiwa Uenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki Mwa Afrika kutoka kwa IGP wa Sudan (PICHA- Jeshi la Polisi)
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )