Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, September 24, 2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atoa Pole Kwa Mkuu Wa Majeshi Na Familia

adv1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda kuhani msiba wa mototo wa Mkuu wa Majeshi , Nelson Mabeyo, Msasani jijini Der es salaam, Septemba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi nchini, Generali Venance Mabeyo, nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam, Septemba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole,  Tina  Mabeyo, Mke wa Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo, Septemba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali, Venance Mabeyo wakati alipokwenda nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi, Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi, Nelson Mabeyo, Septemba 24, 2019. Kulia ni Jaji Mkuu waTanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma na kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )