Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, October 2, 2019

ACT Wazalendo kufungua kesi Mahakama Kuu kupinga uteuzi wa Mkurugenzi Mpya wa Tume Ya Uchaguzi-NEC

adv1
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema chama hicho kimemuagiza wakili, Jebra Kambole kuangalia misingi ya kisheria ili kufungua kesi ya kupinga uteuzi wa mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera.

Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Septemba 2, 2019 muda mfupi baada ya kutoka kusikiliza kesi ya kupinga ukomo wa urais iliyofunguliwa na Dezydelius Mgoya ambayo chama hicho kimeomba kujumuishwa.

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )