Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, October 8, 2019

Halmashauri 31 zenye ofisi nje ya maeneo ya utawala Zapewa Siku 30 Kuhamia Maeneo Hayo, Vinginevyo Zitafutwa

adv1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),  Selemani Jafo amezitaka Halmashauri 31 zenye ofisi nje ya maeneo ya utawala kuhamia katika maeneo hayo katika kipindi cha siku 30 kuanzia leo Jana Jumatatu Oktoba 7, 2019.

Taarifa iliyotolewa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano Serikalini- Tamisemi,  Rebecca Kwandu inaeleza kuwa Jafo ametoa agizo hilo jana mkoani Rukwa baada ya kupokea maelekezo kutoka kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli kuhusu halmashauri hizo.

Amesema halmashauri itakayozembea kutekeleza agizo hilo itafutwa.

Jafo amesema kuwa agizo hilo kutekelezwa mara moja kuanzia Oktoba 7,  2019.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )