Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, November 3, 2019

BREAKING:Rais Magufuli Amteua Charlse Kichele Kuwa CAG Mpya Kuchukua Nafasi ya Profesa Mussa Assad

adv1
Rais Magufuli amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuanzia leo  akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Profesa Mussa Assad ambaye muda wakeu unaisha kesho.


Viongozi wengine walioteuliwa ni Majaji 12 wa Mahakama Kuu, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait ( Mhandisi Aisha Amuru ), Kamishna wa Kazi (Kanari Francis Leonard Mbindi ) na Katibu Tawala mkoa wa Njombe (Katalina Tengia Levekati )

Viongozi wote walioteuliwa leo na mheshimiwa Rais Magufuli wataapisha kesho asubuhi saa tatu na nusu viwanja vya Ikulu.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )