Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, January 15, 2020

Mbunge wa CCM afariki Dunia

adv1
Mbunge wa Newala Vijijini, Rashidi Ajali Ahkbar amefariki dunia Mnazi Mmoja mkoani Lindi.

Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM mkoani Mtwara, Selemani Sankwa, amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya makubaliano ya familia na Ofisi za Bunge.

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )