Showing posts with label habari za kitaifa. Show all posts
Showing posts with label habari za kitaifa. Show all posts

Tuesday, August 7, 2012

MAONESHO YA NANE NANE YAZIDI KUSHIKA KASI MJINI DODOMA


PICHA ZOTE NI   KWA HISANI YA HELLEN MCHARO
HABARI KAMILI..>>>

EMANUEL ZANDA: NATAFUTA MCHUMBA


JINA: Emmanuel Zanda
UMRI: 27
JINSIA: Mvulana
EMAIL: emmanuelzanda@yahoo.com
SIMU: 0752539979 AU 0656380928
HAHALI NILIPO;Shinyanga ( kikazi)
 
UJUMBE; serious natafuta msichana aliyetayari na anayehitaji kuingia kwenye ndoa ili tuanzishe familia kama mke na mume halali wa ndoa endapo tukiridhiana. 

Sitaki mtu anayejaribu au kutania kwani sipend kupotezeana
muda bali nahitaji mtu serious ili tufanye maisha. mimi ni mwajiriwa serikalini, sina mtoto wala sijawahi kuoa, situmii pombe wala sigara.

Ninayemuhitaji; Awe mweupe au maji ya kunde, asizidi miaka 25, awe mkristo, umbo la wastani, elimu yoyote, awe na kazi au asiwe na kazi, asiwe na mtoto, asiwe amewahi kuolewa. mengine tutaongea baada ya kuwasiliana.

KAMA UNATAFUTA  MCHUMBA AU  MPENZI,  NIANDIKIE  KUPITIA  mpekuziblog@gmail.com
HABARI KAMILI..>>>

ATHARI 6 ZA MWANAUME ALIYEZOEA "KUJIUCHUA " AU " KUJICHEZEA (PURI )

Kujichua  au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.  
Leo  nitaongelea  Hasara za kujichua au kujichezea kwa  mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu  ya kufanya mapenzi. 

Athari kubwa ya kupig puri ni kuwa  hupunuza  kwa  kiasi kikubwa  hisia za mapenzi  za mwanaume  na kumfanya  awe  mtumwa sawa na mtumwa  wa pombe.

2. Huathiri mfumo mzima  wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi  haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).

Hii inatokana na kweli  kuwa mwili   wako unakuwa umeuzoeza  kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna  kitu wanawake  wanachukia  kama   kupizi mapema.

3.Humfanya  mwanaume ashindwe kurudia ROUND  YA PILI NA KUENDELEA....

Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round  tatu fululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza  kupiga round moja tu,ena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na  mpenzi wako.

Amini au usiamini.Ukwelini kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.

4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.

Athari  nyingine ya kujichua ni kuwa humfana mwanaume awe ni mtumwa.Kama alizoea kupiga  puri  wakati wa kulala,au   asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku....Haijalishiyuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni  lazima  atakimbilia  hata chooni ili  mradi  afanye  hivyo.


5.Humfanya  mwanaume  ashindwe kabisa kutoa bao.

Hii  hutokea  kwa mwanaume aliyezoea  kupiga  puri kwa miaka kadhaa. 

Jamani,nafikiri   mtakubaliana na mimi kuwa  VIDOLE ni  tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali  hii humfanya  mwanaume ashindwe kupizi  au  kusimamisha of which  hilo  ni  tatizo.

Sasa inapotokea ukafanya mapenzi  live   baada ya kutoka katika kipindi  kirefu   cha kupiga puri,mwili  hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.

Ni rahisi  kupatwa na maradhi  kama   KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa  PROSTATE CANCER.

Gonjwa hili  hushambulia mirija ya  chini  ya uume na  huufanya mkojo kuwa na mrundikano  mwingi wa damu.

Nakuachia  kazi ya ziada  kufuatilia  dalili  na hasara za ugonjwa huu.

HABARI KAMILI..>>>

Monday, August 6, 2012

SINTAH AMJIBU AGNESS MASOGANGE

 
Mwigizaji  mwenye  mbwembwe nyingi  kutoka ndani ya  tasnia ya filamu Bongo Christina Manongi 'Sintah' amemtaka  video queen wa Bongo Agness Gerald Masogange   kufunga bakuli lake (kunyamza kimya) na kuacha  kumapakazia meneno machafu kwenye vyombo vya  habari.

Akizungumza na mwandishi wetu  mapema leo Sintah amesema kuwa amesikitishwa  sana na kitendo cha  Agness kumtaja yeye (Sintah) kuwa ndiye anahusika na kuisambaza kwenye mitandao video  inayomuonyesha Agness akiwa mtupu huku pia akionekana kufanaya  matendo kadhaa ya kingono.

"Nimemsikia na isitoshe kuna watu wengi wameniambia juu ya hilo la kunitukana na kunitaja redioni kuwa nahusika, mimi  sijui lolote awaulize marafiki zake  ambao mimi naamini ndiyo wanahusika kuzisambaza kwani hata kwenye BBM yangu ni wao ndiyo walinitumia namuomba afunge bakuli  lake la siivyo nitazitoa zaidi kwani ninazo pati wani mpaka 3 na zote nimetumiwa na marafiki zake ambao yeye anacheka nao lakini hajui kama ni ma-sn***ch" alisema Sintah

Akiendelea zaidi Sintah amefunguka kuwa  kamwe hajui lolote kuhusu kamera anayoisma Agnes, kwani binafasi hajawahi kukutana naye  na  alimjua  kupitia   nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva kwa kuwa msichana huyo anapenda kuuza sura  na zaidi hajui hata  anapokaa.
HABARI KAMILI..>>>

FAIDA NA HASARA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA " KUJICHEZEA" AU "KUJICHUA"


Kujichua  au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.  
Leo  nitaongelea  Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa  mwanamke.

HASARA ZA  MWANAMKE  ALIYEZOEA  KUJICHUA
 
Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama unatumia au unajingizia vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na kusababisha uke wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.

Ukizoea kutumia Sanamu kujichua utashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume kwa vile sanamu ni ngumu japokuwa watu watakudanganya kuwa ziko na texture kama uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba uume kwa ajili ya kuingia ukeni na sio sanamu.

Mazoea hayo yatakufanya kihisia udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo kumuomba akufanye kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho nitakiita "madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu".
 
FAIDA  ZA  KUJICHUA:
 
1)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.

2)Kujua "vipele vyako viliko".

3)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.

4)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

Maamuzi ni yako.Kumbuka kila kilicho na faida hakikosi hasara.
HABARI KAMILI..>>>

USIKUBALI KUDANGANYWA: SIKU HIZI KUNA BIKIRA FEKI INAYOTENGENEZWA KWA LIMAO NA NDIMU

SWALI LA MSINGI

"Poleni sana na kazi za kutuelimisha .
Mimi nina swali moja tu naomba wewe na wadau wengine muweze kunisaidia katika hili. Kuna mtu aliniambia kuwa asali na limao vinaweza kuufanya Uke uwe taiti. Je ni kweli? Na kama ni kweli, hivyo vitu vinatumikaje katika zoezi zima la kufanya Uke uwe taiti? 

JAWABU TOKA  KWA DADA  DINAH: 

Hapana Asali na Limao havifanyi uke kuwa tight au kupunguza upana.

Limao na Ndimu ni Asidi hivyo basi haipunguzi upana wa uke wako bali inaongeza ukavu wa eneo la nje la uke wako na hivyo basi mwanaume kuingia kwa taabu na kukusababishia wewe maumivu au niseme discomfort fulani hivi lakini kule ndani bado uke utakuwa mpana.


Asali ni kimiminika kizuri sana kuifanya ngozi yako kuwa laini pia hutumiwa na baadhi ya watu wakati wa kufanya ngono kwa kutumia midomo ili kupoteza radha asilia ya eneo husika lakini sijui kuhusu ukazaji wa uke.


Upana wa uke unapunguzwa kwa kukaza misuli ya uke ambayo iko kwa ndani na wanawake hufanikiwa hilo kwa  kutumia ndimu au limao .


Kama nilivyoeleza hapo juu,  vitu hivyo  huufanya mlango wa  mwanake uwe mgumu  sana lakini  kwa ndani  haubadiliki.Ndani bado kunakuwa  ni kupana.Wakati wa ku sex, mwanaume ni lazima  asikie maumivu makali  mithili ya mtu anayfanya mapenzi na bikira  kweli.

JINSI YA KUITAMBUA BIKIRA FEKI

Kuitambua bikira feki ni rahisa  sana. Kama nilivyosema, utaingiza kwa taabu sana  lakini baada ya  hapo, ndani utakuta ni kupana mno.....tena huenda usitoshe  vizuri.

Njia nyingine ni kuziangalia chuchu  za mwanamke.Mwanamke ambaye  hajawahi tumika  ana chuchu  ngumu  mithili ya kijiwe kidogo .Haijalishi ukubwa wa matiti aliyo  nayo maana wengine wameumbwa hivyo   kiasilia.Ukweli utajidhihirisha  kwenye chuchu zake
HABARI KAMILI..>>>

WEMA SEPETU ATAMANI KUSHIRIKI BIG BROTHER AFRICA


Apparently, Wema Sepetu ameanza kuingiwa na idea ya kutaka kushiriki kwenye shindano lijalo la Big Brother Africa. 


“Dah eti nafaa kuwa next housemate BBA….?” ni swali alilowauliza followers wake wa Twitter leo asubuhi.

“Not only kufaa u deserve to be there Wema coz unakismati cha kupendwa na watu,” alijibiwa na mmoja wa followers hao.


Kwa hakika Wema Sepetu akiamua kushiriki kwenye shindano hilo anaweza kufanya wonders kutokana na haiba yake. Big Brother Africa loves drama and Wema has what it takes to entertain.


Ni msichana ambaye kama akishiriki kwenye shindano hilo, ndani ya muda mfupi anaweza kuwa housemate anayependwa zaidi na Africa.


Wema ni msichana asiyeogopa kuongea yale atakayo kuongea hata kama atatofautiana na wengine. 


Ukiongezea sauti yake nyembamba kama ya mtoto ambayo ni kivutio kwa wapenzi wa filamu nchini, anafit sana kuiwakilisha Tanzania ambayo kwa mwaku huu imefanya vibaya kwenye shindano hilo.
HABARI KAMILI..>>>

MASANJA MKANDAMIZAJI ADAIWA KUTANDIKWA MAKOFI


MCHEKESHAJI wa Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’, mwishoni mwa wiki iliyopita anadaiwa kutandikwa makofi hadharani na polisi baada ya kuingilia msafara wa gari lililokuwa limebeba fedha.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, tukio hilo lilitokea kwenye njiapanda ya Chalinze mkoani Pwani ambapo msanii huyo alikuwa akitokea Dar kuelekea Tanga huku akiendesha gari kwa kasi ya ajabu.


Chanzo hicho  kilieleza kuwa jamaa huyo alikutwa na kasheshe hilo baada ya ‘kuliovateki’ gari hilo lililokuwa likisindikizwa na polisi ambapo pamoja na kuzuiwa na wajeda hao, Masanja alijitoa fahamu na kujifanya kichwa ngumu.


Kilisema: “Baada ya ‘kuwaovateki’ wale polisi, ndipo nao (askari) wakamkimbiza hadi wakamkamata na ndipo akala mbata zake na soo likahamia kwenye Kituo cha Polisi cha Chalinze Njiapanda na kumshikilia kwa muda kisha kumuachia baada ya mahojiano.”


Ili kupata mzani wa habari hiyo, mwandishi wetu  alimtafuta Masanja ambaye alikiri kutokea kwa tukio hilo na kudai kukamatwa na askari kutokana na makosa ya barabarani kwake ni suala la kawaida huku akikanusha kupewa kibano.
HABARI KAMILI..>>>

MAANA YA RANGI ZA SHANGA NA UMUHIMU WAKE KWA MWANAMKE


Mpenzi msomaji wa blog hii,naomba tuongelee rangi za shanga kwa wale wanaopenda kuvaa shanga.

Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa  ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka.

Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu  tujifunze  pamoja.
Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .

  Jana  niliguswa  sana na simulizi la rafiki yangu juu  ya  shanga, hivyo nikaona  boraniandike  na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi  lake.


 ".........Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya  Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. 

Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu. 

Alivyogusa  shanga zangu akawa kama mwili wake umekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa ham yake ilikuwa juu....."

 Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani  muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.


Kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.RANGI ZENYE MAANA PINDI UWAPO KITANDANI  NA MPENZI WAKO


Nyekundu:  ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).
Nyeupe:  ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.
Nyeusi: ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwa hiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia siku nzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.
Hizo ndio rangi muhimu za shanga kwa wale waliokuwa hawajui.

ASANTENI
HABARI KAMILI..>>>

MAMBO 7 MUHIMU MBAYO MWANAMKE UNAPASWA KUYAJUA KUTOKA KWA MWANAUME2.KUPIKA NI MUHIMU: Kujua kupika kunakuongezea mvuto kwa yule umpendae.. restaurants, takeaways and dinner out everyday? hakuna kitu kama hicho.... mfanye mpenzi wako atamani kurudi nyumbani mapema kwakuwa chakula unachopika girlfriend wake ni kitamu kuliko chakula kingine chochote.


3. Workout:Hakuna mwanaume anapenda mwanamke mzembe... jitahidi kufanya mazoezi na kuhakikisha mwili wako uko katika standard.. sio wote mnauwezo wa kuingia Gym lakini jitahidi hata kukimbia kidogo uamkapo asubuhi ili kuufanya mwili wako kuwa sharp.


4.SWALA LA UENDESHAJI GARI; WANAUME HATUPENDI KUKOSOLEWA... HILI LINANIKERA MIMI BINAFSI SANA TU....5. Dont smoke: huwa mnajidanganya kuwa ukivuta sigara utaonekana sexy na mwenye mvuto.... unajidanganya.. utaishia kuwa katika mahusiano na masharobaro na hutaweza kupata mwanaume wa maana.. wanaume tu kuvuta sigara wanajikaza... iweje wewe mwanamke uvute??


6. KUWA WAZI NA HISIA ZAKO: Namaanisha kuwa unapokuwa unahamu na mwenzi wako.. mweleze usiwe mtumwa wa mapenzi kwakuwa wewe ni mwanamke.. mbona Yeye anakueleza pale anapokuwa na hamu na wewe? kwanini wewe usimweleze?? unapokuwa na hamu na mzee mueleze


7. SHORTCUTS: Simaanishi njia ya kukatisha ila majibu ya shortcut kama "WHATEVER","Fine", "cool" and "As u Wish" hakuna mwanaume anapenda majibu kama hayo.. if u love that man why umpe majibu ya shortcut??
HABARI KAMILI..>>>

ZITTO KABWE "AKILA BATA" NA WEMA SEPETU

WEMA SEPETU NA MHESHIMIWA ZITTO KABWE WAKISAKATA RUMBA


HABARI KAMILI..>>>

BOSI WANGU KAZINI ANANITAKA KIMAPENZI. YEYE NI MAMA MTU MZIMA NA ANA WATOTO. NAOMBA USHAURI WENU

Habari zenu, jamani mimi ni mara ya kwanza kuleta tatizo hapa, ni matumaini yangu nitafaidika na ushauri wenu. Mimi ni mwanaume nina miaka 26 , nafanya kazi kwenye kampuni moja hapa nchini.

Hivi karibuni hapa kazini kuna Mkuu  wangu wa kazi  ambaye  ni mama mtu  mzima  amekuwa akinitaka kimapenzi.Yeye ni  mke  wa mtu  na  ana watoto.Mume wake  hutumia muda  mwingi katika shughuli  za kibiashara nje ya nchi.

 Hivi karibuni amekuwa karibu sana na mimi.Ukifika muda wa chakula   huwaagiza wahudumu  wa cafe  waniletee  chakula ofisini eti  kwa sababu nipo busy na kazi.

Mara nyingi  huja ofisini kupiga stori na mimi,jambo linalonofanya nikose amani mbele ya wenzangu.

Kuna siku moja alikuja nilipokuwa nimekaa  ofisini kwangu  akaniwekea mkono begani halafu akaniangalia usoni kwa sekunde kadhaa karibu nianguke kwa uoga.Japo hajanitamkia ila nahisi ananitaka kimapenzi maana ni wazi kabisa.

Jumatano ya wiki iliyopita alinisubiri mpaka nikamaliza kazi,then  kanipa lifti mpaka maeneo fulani karibu na nyumbani kwangu.Wakati anaondoka akaniambia kuwa kuna safari ya  kiofisi itabidi niende naye  Mwanza   wiki  ijayo kwa ndege, kwa hiyo nijiandae.Yaani nime changanyikiwa  sana.

Ijumaa aliniachia ujumbe ofisini eti tukutane lunch. kufika kaniodea na chakula nikabaki nimeduwaa. 

Nilimuambia sitaweza kukaa kula maana nina kazi kibao ofisini nitabeba basi na yeye kabeba chake kaja kula ofisini kwangu alivyomaliza akakaa nikawa najaribu kupoteza lengo namuuliza mambo ya kazi lakini mara anishike mkono, mara aniangalie tu kwa muda usoni ili mradi tu ni kama mwanaume anavyomtongoza mwanamke vile.

 Sasa najiuliza nimuelezaje huyu mama kuwa mimi sipo tayari na sitaki kwenda  naye Mwanza . Mimi binafsi nina mchumba wangu ambaye tumetambulishana kwa  wazazi.Niliona kuwa  kabla  hatujafunga ndoa ni bora nitafute kazi ili maisha  yasitushinde.Bahati mbaya kazi inanitesa na kunipa mtihani mgumu

Nimechanganyikiwa   na sijui cha kufanya.Nikifikiria  nihame ofisi ,najiuliza  ntapata wapi tena kazi  na  elimu yenyewe yakuunga  unga.

Kilichonifanya nishtuke ni kadi aliyoninunulia siku chache zilizopita ,yaani ilikuwa ni ya kimapenzi kabisa . Wenzangu ofisini wameshaanza kuhisi vibaya.Nifanyaje  jamani.Naomba ushauri wenu  kupitia blog  yenu
HABARI KAMILI..>>>

KAKA YETU NI SHOGA.....TUMEJARIBU KILA MBINU ZA KUMBADILISHA LAKINI TUMESHINDWA. TUNAOMBA USHAURI WENUNatumaini mu wazima. leo ninajambo moja zito sana na kwakweli nahitaji msaada wenu, kwetu tumezaliwa wanne wasichana watatu na mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 27 ambaye kwa kushangaza amekuwa shoga.

ilianza kama utani kwani hatujawahi hata siku moja kumuona akileta mwanamke nyumbani kwamba ni girlfriend wake ila mara kwa mara alikuwa anakuja na kundi la wanawake ambao ni mashoga zake kwa wakati huo sisi hatukugundua kitu kabisa.

lakini kwa muda tukawa tunamgundua anajipenda sana kupita kawaida, akawa anatembea na kibegi ambacho kutwa hakikosi manukato, lotion, kitana na mafuta ya mdomo kidogo, kwakweli tulishtushwa sana tukajuwa labda ni cha marafiki zake lakini mara kwa mara akawa nacho na pindi tukiamua kutoka pamoja kila mara huchukuwa kioo chake kidogo na kujiremba ndipo tulipojuwa kuwa ni bwabwa.

kwa kweli hiki kilitushtua sana na kwa vile wazazi wetu hawapo tena hatukuwa na mtu wa kuongea naye tukajitahidi kuongea na huyu kaka tukimshawishi aache ushoga lakini akatuambia anaupenda na hawezi kuuacha na tukiendelea kumshawishi atakimbia nyumba na asirudi tena.

kinachonikasirisha ni pale ninapomsikia akiongea na simu na hao wanaume wake anavyowaambia jinsi walivyomchanganya kwa mapezi jana yake na jinsi alivyokuwa anatamani tena, na wakati mwengine yupo busy kutuma message zake mbaya ambazo hazina adabu kabisa.

tunampenda sana huyu kaka yetu na hatutaki awe shoga tumejaribu kila njia ya kumwachisha lakini tumeshindwa jamani tusaidieni japo hata kwa mawazo tumfanyaje?

JOYCE.
HABARI KAMILI..>>>

BIG BROTHER SATRGAME WINNER: IT IS KEAGAN!!

KEAGAN (kati)
Prezzo
Hayawi hayawi, hatimaye yamekuwa! Ni Msauzi Keagan! Ameibuka kidedea katika kinyanyiro cha Big Brother Afrika na amejinyakulia dola za Kimarekani 300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za kibongo! Prezzo ameingia fainali na Msauzi huyo lakini bahati haikuwa yake!
HABARI KAMILI..>>>

Sunday, August 5, 2012

MAMBO YANAYOMFANYA MTU AYACHUKIE MAPENZI


SIJUI wewe ulikuwa una malengo gani wakati unafikiria kuwa na ambaye unaye; wapo ambao walikuwa na malengo kwamba akiwa na mwanaume, maana yake awe ndio sawa na mashine ya kutolewa fedha maarufu kama ATM.


Ikiwa ulichokuwa unatafuta ni mwanaume au mwanamke ambaye kwako atakuwa ni ATM, kwamba ndiye awe anakupa kila kitu unachotaka, ikiwa hatakuwa na fedha si rahisi mkaendelea kuwa na uhusiano mzuri, kwa kuwa mpango wako haukuwa mapenzi, bali kuchuma fedha na kula raha.


Wajinga ni wale ambao wanaingia kwenye mapenzi ili kusaidiwa tu, badala ya kusaidiana. Mwenye hekima ni yule ambaye anafahamu kwamba kuingia kwenye mapenzi, maana yake ni kuongeza timu ya kusaidiana katika maisha, si vinginevyo.

Mwanamke yeyote ambaye anafikiri yuko na mwanaume maana yake ni kwamba awe anamnunulia kila kitu, kwamba kwake mwanaume ni kila kitu, kinywaji anunuliwe, chips anunuliwe nk...kwamba yeye ni mtu wa kupewa tu ofa, maana yake ni kwamba akili yake imekufa.


Kufikiri kwamba kuoana na fulani maana yake ni sasa yeye atakuwa anakusaidia kila kitu milele na kwamba asipofanya hivyo utamdharau, si kitu sahihi.

USIWE NA MATARAJIO MAKUBWA UNAPOINGIA KWENYE NDOA
Unapoingia kwenye ndoa, usiwe na matarajio makubwa sana mazuri. Jambo unalopaswa kufahamu ni kuwa uhusiano ni suala la kawaida, kwamba unakuwa na mtu kwa lengo la kuwa nae kama timu moja kusaidiana katika kuleta maendeleo.

Kati ya mambo yanayofanya watu kutofurahia mapenzi, ni pale anapotishwa kwamba labda asipofanya hiki kwa mfano kukusaidia, basi uhusiano wenu utaharibika.


Kuna wanawake utasikia aaah sasa kuna maana gani ya kuwa na mwanaume ikiwa namwomba fedha hawezi kunisaidia? Fikra kama hii ni ya kipuuzi. Wewe kwanini huna fedha? Ndoa ni kusaidiana, sio kugeuzana ATM.


YUKO BIZE NA SIMU, KOMPYUTA NK
Kati ya mambo yenye kutiana ‘kichefuchefu’ katika mapenzi ni pale kwamba uko na mwenzi wako, lakini ni kama wewe ni tambala la deki; yaani yuko bize na simu yake au kompyuta au kitu kingine chochote.

Wengine unakuta labda anawasiliana na wengine kwa mitandao ya kijamii kama vile facebook, twitter nk, kumaanisha kwamba wewe ni muhimu, walio muhimu ni wale ambao anawasiliana nao huko.
KUKOSOANA MBELE ZA WATU AU HATA KUPIGANA
Wapo watu wamekuwa na tabia ya kukosoana au hata kupigana mbele za watu. Kati ya makosa yenye kukera na huenda ukasababisha uhusiano ukabaki historia ni hii...ni vizuri ndugu yangu kujifunza namna ya kuachana na hasira kali.

MATUMIZI MABAYA YA FEDHA NA KUTOKUWA NA MIKAKATI KATIKA MAISHA

Kila mtu Duniani anataka maisha bora, kwa maana hiyo ni furaha ya kila mtu kuona mwenzi wake anakuwa mwenye mikakati imara katika kuimarisha maisha yao.

Tabia kama za ufujaji wa fedha, kutokuwa na mikakati katika maisha, ni kati ya mambo yanayochangia ndoa au uhusiano wa mapenzi kuwa mbaya.

HUDUMA KWA WATOTO NA FAMILIA

Ukiwa kama baba au mama, unapaswa kutafakari vizuri nafasi yako katika malezi ya familia. Ni furaha ya mke na mume, kuona mwenzi wake anajali watoto na familia kwa ujumla. Je, wewe ukoje? Pata muda kufakari hali ya maisha yako, chukua hatua.

UCHAFU NA KUTOWAJIBIKA 


Kuna watu wamekuwa wachafu kupindukia, hata kuoga kabla ya kulala ni shida, wengine kuvaa nguo mpya ya ndani hadi awe na ahadi ya kuonana na nesi au daktari.

Lakini zaidi ya yote, ni muhimu wanaume na wanawake wakafahamu kila upande kwa kawaida huwa na nafasi yake ya kuwajibika.


Hata kama wote mna ajira au fedha, mume anapaswa kuangalia namna ya kumfanyia mkewe mambo kama kununua nguo, chakula ndani nk...kuna wanaume hawa hawajui wake zao wamevaa nini wala hawajui ndani chakula kinanunuliwaje...hili ni kosa. Ndoa ni kusaidiana, kila upande uwajibike, ni nzuri kuwa na vikao vya namna ya kuendesha ndoa yenu.
HABARI KAMILI..>>>

CHABO NA VIBOMU KWENYE PEPA

 
Jamani hizi chabo ni balaa kwenye chumba cha mtihani


Wakati mwingine yuko bize anaumiza kichwa darasani mwingine kiurahisi anahamisha tuuu..!


Chabo kwa akina dadaz kwa pajaz..


Nani nwenye ujasiri wa kukusachi hadi huku...mmmh


Dah kimenaswa....


Wale wa kanuni...leoleo..


Hata simu zilipo katazwa kuingia chumba cha mtihani vifaa vingine vya kielektoniki vilitumika...


Ndiyo maana huko nchini japani wasimamizi wa mitihani huingia na kifaa maalumu cha kufanyia ukaguzi kugundua vifaa vya elektoniki kwa watahiniwa.
HABARI KAMILI..>>>

MUME WANGU HAJUI KULA.....KIBAYA ZAIDI NI MVIVU. DAKIKA TATU KASHIBA

"Dada  zangu, naomba msaada,Mie Naitwa Rehema,Nimeolewa miak 4 iliyopita,nampenda mume wangu naomba msaada.Mume wangu hajui kula denda, naogopa kumfundisha,ni mbishi na ana wivu sana, denda ananijaza mate mpaka mto unalowa au ananiuma hasa wakati anakuja.


Ninapo jaribu ku mkiss lips, anafungua mdomo wote meno yake huwa yananiumiza,na pia nakuwa very un comfortable.


Hata wakati wa tendo ana style za ajabu ajabu, chuma mboga hataki eti goti zake zinachoka, ananilalia tu juu au ananipandisha juu yaani kumkalia,ata kitambi kikubwa.mara zote huwa ananikojoza na kidole, akipiga pafu mbili au tatu huwa anakojoa na kuniacha mie bila kukojoa.


Natamani kukojozwa na ila ni mvivu mpaka aji spray ndo anaweza kudumu  kwa dakika 5 mpaka 7.Huniacha na hamu  za ajabu.


Mara nyingi huwa anasinzia kama mtoto akishakojoa.pia hapendi kujifunza new style anahisi kuwa nafundishwa na wanaume wengine, im only 30yrs na yeye ni 34.Please help dina please save my marriage.Rehema, Morogoro"

JAWABU:  

Rehema miaka minne ya ndoa najaribu kupata picha umeivuka vipi ikiwa hali halisi ndio kama unayoisema hapa!  Niliwahi kuzngumzia swala la kuboresha uhusiano wako wa kimapenzi na nikatoa nguzo tano ambazo zikifuatwa vema basi uhusiano wenu utakuwa mzuri na wenye afya.

Moja ya nguzo hizo ni Kuwasiliana/Mawasiliano, zungumza nae kwa upendo, vilevile mfundishe kwa kujenga mazingira ya "tujaribu" kujibusu ktk mitindo tofauti kamavile kwaheri, nakutamani, nakutaka, nasikia raha, nimechoka, nakupenda n.k.

Swala muhimu la wewe kuzingatia ni kuwa hakuna mtu atakae okoa ndoa yako bali ni wewe na yeye. Je mtaiokoaje? kwa kujaribu kuboresha utendaji wake na sio kumbadilisha.

Miaka yote hiyo ya ndoa naamini kuwa mmezoeana sana na mko comfortable kufanya chochocho au kufanyiana lolote iwe ki-searious au kiutani......sasa tumia kona hizo kuweka wazi zile kero za kuachama na kukupa mate badala ya ulimi wakati mnabadilishana mate (kula denda) bila kusahau swala zima la kutumia muda mwingi kucheza na wewe iliuridhike kabla "hajang'orota"...kulala fofofo.

Alafu kumbuka sio lazima yeye ajitume sana ili ukojoe pale uume unapokuwa ndan, bali unaweza ukajifunza wewe mwenyewe kufika kileleni bila jitihada zake. 


Mfano wakati mnafanya ktk hizo dk 5-7 hakikisha unag'ang'ania kiuno huku ukizunguusha kiuno na wakati huo-huo bana puumzi ....sasa by the time anamaliza na wewe utakuwa unakaribia hivyo akibaki ndani ni wazi kuwa itakusaidia kufika kutokana na ile joto ya manii (hata kama iko kondomni)......usihofie uume wake kunywe still unaweza kufika.

Tatizo la Watu wengi ni kutokuwa open-minded .hivi hawajui kuwa siku hizi kuna magazeti,vipeperushi na site ambazo watu wanaweza kusoma na kujifunza na kwenda kujaribu nyumbani?

Kabla hamjaenda kwa washauri wa maswala ya ndoa na washauri wa ngono ni vema ukajaribu ku-work things out na mmeo kwani naamini kuwa ni wewe na yeye pekee ndio mtakaoweza kurekebisha mambo na kufurahia maisha yenu ya ndoa.


Ikishindikana kabisa basi muombe muende mkamuone mshauri wa maswala ya ndoa .lakini unapaswa wewe na yeye msiwe na aibu .

Kila la kheri.
IRENE.
HABARI KAMILI..>>>

SABABU ZINAZOWEZA KUMFANYA MWANAMKE ASHINDWE KUFIKA KILELENIKukeketwa (Female Genital Mutilation).
Kukeketwa ni kitendo cha kukata sehemu ya uke hasa kisimi kwa wanawake. Katika Afrika kuna nchi 28 ambazo hufanya hicho kitendo cha kikatili, na pia nchi kama Yemen na Indonesia bado wanafanya. 

Ingawa wanawake waliokeketwa huweza kurudia hali ya kuweza kufika kileleni, walio wengi huathiriwa sana na hiki kitendo na kuwasababishia kushindwa kufika kieleleni.

 Dini, jadi na utamaduni:
Kuna baadhi ya mitazamo na malezi ya dini, jadi au tamaduni huwapa wanawake mtazamo mbaya, finyu na usio na maana kuhusiana na tendo la ndoa.

Katika dini, jadi, na tamaduni nyingi ukiacha jando na unyago, elimu ya mwanamke kuhusu mwili na uzazi havifundishwa wala kutamkwa matokeo yake wanawake wengi hawaijui miili yao, kiasi ambacho unakuta kijana wa kiume anamuoa binti hajui chochote kuhusu mwili wa huyo mwanamke na mwanamke mwenyewe hajui chochote kuhusu mwili wake mwenyewe, akiguswa chuchu anakataa kwani ni kwa ajili ya mtoto, hapo utategemea afikishwa kileleni kweli?

 Kisaikolojia.
Hili huchangia kwa asilimia 95 kwa matatizo yote yanayosababisha mwanamke asifike kileleni.

Adui mkubwa anayetisha sana wa mwanamke kutofika kileleni ni akili (mind.) 

Hofu labda ya kuachwa, mashaka, kutojiamini, kukasirika, donge moyoni, kisirani au mahusiano kutokuwa mazuri huweza kusababisha mwanamke kutofika kileleni, Kushindwa ku- concentrate kwenye tendo lenyewe na kupata hisia halisi (sensations). 

Kuwa na mawazo ya kitu kingine wakati wa tendo la ndoa Mawazo hasi (Negative) kuhusu tendo la ndoa, pia Kuwa mchomvu  kutamfanya mwanamke asifike kileleni.

 Kibailojia
Kama vile kuwa na mfumo ovyo wa mzunguko wa damu kwenye maeneo ya viungo vya uzazi pia huchangia. Anaweza kuwa na uvimbe au kisukari pia huchangia. pia hitilafu za viungo baada ya kufanyiwa upasuaji hasa sehemu ya uke.

 Umri (Menopause)
Kuna wakati mwanamke kuanzia miaka 48 – 52 hupata mabadiliko ya upungufu wa homoni na huo upungufu husababisha sehemu ya uke kuwa kavu wakati wa tendo la ndoa. 

Kuwa na uke mkavu huchangia katika ufanisi wa tendo la ndoa kuwa mdogo na hatimaye kushindwa kufika kileleni.

 Si kweli kwamba mwanamke akizeeka uwezo wa tendo la ndoa unakuwa mdogo, muhimu ni kutumia vilainisho kama gel au KY jelly na libeneke linaendelea kama kawaida.

 Kutumia madawa (Medicaments).
kama unatumia dawa za kuzuia msongo wa mawazo pia huchangia ile hamu ya tendo la ndoa (libido) na matokeo yake kukosa kufika kileleni. 

Pia kuna dawa za uzazi wa mpango hupunguza hamu ya tendo la ndoa hasa zile ambazo huingizwa mwilini (sindano). Pia dawa za kupunguza pressure hupunguza uwezekano wa kufika kileleni.

 Pombe, madawa ya kulevya na sigara, Alkoholi na madawa ya kulevya hupunguza sana hamu ya tendo la ndoa. Huathiri mfumo wa Fahamu unaohusika na mzunguko wa hisia za mapenzi kati ya ubongo na uke.

 Kama inavyoathiri (alkoholi) mwanaume kudindisha vilevile huathiri mwanamke kufika kileleni. Mwonekano, urembo na umaridadi:

Kwa mwanamke jinsi anavyoonekana na jinsi mwanaume anavyoonekana kuna sehemu katika hisia za mapenzi (emotions na feelings).

Kama yeye mwenyewe anajijua kwamba hayupo vizuri kimwonekano (urembo, usafi, harufu) na pia kama mwanaume hayupo sawasawa basi anakuwa ameathirika sana kiasi ambacho hawezi kufika kileleni.

Pia wanawake wana uwezo mkubwa kunusa harufu kuliko mwanaume hivyo harufu yoyote mbaya kwake huwezi kumpeleka nje kabisa ya njia ya kwenda kileleni.

 Mazingira
Kama eneo au chumba mlichopo hakina usalama kama vile anahisi mtu anachungulia au anaweza kuingia, kwa mwanamke hiyo ni issue kwani hawezi kufika kileleni kwa sababu ya usalama wake.

Je kuna jinsi ya kuondoa tatizo la kutofika kileleni?
Kujiruhusu mwenyewe kupenda tendo la ndoa na zaidi kupenda kufika kileleni kwa hamu kubwa.

Kuwa responsible kwa mambo yote yanayohusu ufanisi wa tendo la ndoa.

Kujipa elimu na maarifa kuhusu elimu ya mapenzi kwa mwanaume na mwanamke, viungo vinavyohusika na kila kitu kinachiweza kukupa tofauti katika ufanisi uimarishaji wa tendo la ndoa kama unavyosoma hapa sasa hivi.

Kuwa na mawasiliano wakati wa tendo la ndoa hasa kuhusiana na maeneo yote ambayo unasisimka pale ukiguswa au kuchezewa.

Kufanyia kazi kila tatizo lolote la kisaikolojia na kupata solution kabla ya tendo la ndoa.

HABARI KAMILI..>>>

MAKOSA MANNE AMBAYO WANAUME HUYAFANYA WAKATI WA KUWAANDAA WAPENZI WAO


Je, maandalizi ya tendo la ndoa (foreplay) ni nini?

Ni kitu kinachofanyika kati ya wakati mmetoa nguo zote na kabla ya mwanaume kuingiza uume kwenye uke.

Ni kubusiana, kugusana, na kuchezeana hadi mnakuwa mmesisimka vya kutosha kwa ajili ya tendo la ndoa.

Ni kuuungana kihisia, kiroho na kimwili kwa muda wa kutosha kabla ya tendo la ndoa

Ni msingi na kitu muhimu kwa ajili ya kuhakikisha unapata tendo la ndoa lenye kuridhisha.

Ni sanaa ya kuelezea upendo na kukaribishana kwa ajili ya tendo la ndoa.

Ni muhimu kwa ajili ya kumwandaa mwanamke kwa ajili ya tendo la ndoa.

Ni kumhusisha partner wako vizuri zaidi kupata hisia za upendo na ukaribu kimahaba yeye kujiona mtu maalumu kwako

Ni aina ya meditation (kutafakari) ambapo hukusahaulisha na mambo ya dunia (ulimwengu wa nje) na kuondoa strees na kukuwezesha ku-focus kwenye mapenzi moja kwa moja (connection)na yule umpendaye.

Pia kusoma maandishi yanayosisimua, kuangalia video na picha zinazosisimua na maongezi yanayoosisimua kimapenzi ni foreplay pia.

MAKOSA   WANAYOYAFANYA   WANAUME  WAKATI  WA  KUMUANDAA  MWANAMKE

(i) Kuwa na haraka
Wanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.

Wanawake hutumia muda mrefu ili kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda bila kuwa na haraka ili uweze kumsisimua na zaidi kuwa na sex nzuri na yenye kuridhishana.

Ni vizuri kutumia muda wa kutosha kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.

 (ii) Kukosa kujua sehemu muhimu za kuchezea
Zaidi ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.

Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akiguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.

Tumbo, matako, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na nyuma (kutumia mtandao wa Vodacom au tigo ni dhambi kubwa kabisa tena ukome kama una hayo mawazo, mwenye hekima na afahamu naongea nini)

Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.

Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.

 (iii) Kuwa bubu bila kuongea maneno matamu na kumsifia
Wakati wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema mwanaume awe anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama wewe ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.

Kuna maneno matamu, kwenye mapenzi maneno matamu yapo ya aina mbili, kwanza ni dirty words (mfano uke kwa jina jingine unaitaje vile au uume kwa jina jingine unaitaje vile) na pili maneno ya kumsifia juhudi yake au alivyo na umbo zuri. Dirty words husaidia kumsisimua na kupa hamu zaidi na maneno ya sifa husababisha atoe juice zaidi.

 (iv) Kubusu kwa kinyaa au bila Ustaarabu
Wakati unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda umbusu, huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye, hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza kabisa katika mapenzi.
HABARI KAMILI..>>>

NIMECHUMBIWA LAKINI SIYAJUI MAPENZI. NIFANYAJE ILI MUME WANGU ANIFURAHIE WAKATI WA.....?

Habari  Dada Dinah/  Irene.
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo  nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye maandaliz ya  ndoa.

Tatizo mimi ni  mgeni  kabisa katika  ulimwengu  wa mapenzi  na  sijui   kitu  zaidi ya kusimuliwa na marafiki tu.Pengine mtanicheka,  lakini huu ndo ukweli wa moyo wangu.

Sipendi mchumba wangu anichukie  na sipendi anisaliti kwa ajili ya ushamba wangu.Natamani anifurahie  kama anavyotarajia   toka kwa mwanamke  yeyote.

Siku  moja tulijaribu. Sikumkatalia mana tayari  keshanichumbia..Dah,maumivu niliyoyapata nashindwa hata kuyasimulia.Kichwa  kilifanikiwa kuingia lakini hakuweza kuendela tena kutokana na kilio nilichokuwa nakitoa.

Nakiri mimi ni mshamba,lakini nifanyaje dada  na nakaribia kuingia kwenye ndoa?.Nasikia kuna jinsi ya kumwandaa mwanaume,nataka kujua sehemu zipi nimshike ili apate raha.

******************************

JAWABU:
Kwa kawaida kuingiliwa kwa mara ya kwanza (tolewa Bikira) kunauma na sio wanawake wote wanaotolewa Bikira siku ya kwanza kwani hushindwa kuvumilia maumivu na hujawa na Uoga hivyo misuli ya uke inashindwa kujiachia(relax).

Ndio maana zamani wakati Mabinti wanaolewa na Bikira walikuwa wanakaa ndani siku Saba, Usiku wa ndoa Bikira inatolea na siku saba baada ya hapo mwanamke "anazoeleshwa" uume(kuingiliwa ) na yeye kuonyesha mambo mengine ya kimapenzi aliyofundwa kwao.

Ikiwa Mchumba wako amefanikiwa kuingiza kichwa ni wazi kuwa wewe sio Bikira tena, isipokuwa Uke wako haujazoea kuingiliwa na kitu kinene na kigumu + hofu ya kuumia.

Vilevile kichwa cha uume huwa kikubwa kiasi kuliko sehemu ya nyuma ya Uume, ikiwa kichwa kinaingia ni vema kama utavumilia ili aendelee kuingia taratibu na kwa hatua, sio anaingia moja kwa moja na kwanguvu na shauku zake zote....utaumia na kumchukia!!

Weka uaminifu kwa Mchumba wako na muombe aingie taratibu-taratibu, usiwe na haraka ya kuzoea leo au kesho! Unaweza kusubiri mpaka mtakapofunga ndoa na kwenye Fungate ndio mkazoeshane.

Wanaume wanatofautiana hivyo siwezi kusema umshike wapi ili afurahie .anyway! Kuna maeneo ambayo ni General na mengine jaribu kubahatisha au kutafuta jinsi mnavyozidi kuzoeana.

--Kubusu shingo katika mtindo wa kuuma kwa mbaaali

--Busu au papasa juu ya Kinena(sehemu inayoota Nywele) au niseme kiunoni kwa mbele hivi kama unaelekea chini ila usifike kwenye uume.

--Lamba katika mtindo wa kunyonya Chuchu, hakikisha unazinyonya kwa kupokezana, usibaki kwenye chuchu moja kwa muda mrefu kwani utampoteza "msisimko".

--Masikio, unaweza kuwa ni sehemu ya chini, kwa nyuma au kwa ndani kama sio sikio lote. Tumia midomo yako kulamba, busu, hemea na nong'oneza maneno matamu kumfanya Mchumba wako asikie raha na kuelewa hisia zako kwake.

--Busu katika mtindo wa kulamba sehemu ya ndani ya mapaja yake, pia busu sehemu ya nyuma ya kiuno(juu kidogo ya makalio yake).

--Shika Kende zake na kuzichezea(taratibu usimuumize) na tumia midomo yako kutumbukiza kende na kuzitoa kama vile unapuliza ki-slow-mo.

Anza na hivi, vingine tutaendelea kuelekezana jinsi unavyoendelea na maisha yako ya ndoa.

Maana ukionyesha mengi jamaa anaweza kukushangaa....Lol!

Hongera sana kwa kuchumbiwa na kila la kheri kwenye maandalizi ya Ndoa yenu. Mungu awaongoze na kuwalinda.
------------------ 
Dinah..
HABARI KAMILI..>>>