Showing posts with label natafuta mchumba. Show all posts
Showing posts with label natafuta mchumba. Show all posts

Monday, June 6, 2011

NATAFUTA MCHUMBA MWAMINIFU.....(Updated,23/10/2011)Naitwa Rehema, kwa sasa niko nje ya Tanzania. Natafuta mchumba ambaye ni mkristo mwenye miaka kuanzia 34 - 40, awe anaishi nje ya nchi pia ili iwe rahisi kukutana na kufahamiana zaidi. 
Kijana ambaye ni mpole, mchapakazi, ambaye yupo tayari kuingia kwenye maisha nya ndoa na kuanzisha familia hivi
karibuni.
Aliye tayari na serious naomba aniandikie kwenye email
address   hii.  rehemamachage@yahoo.com

************************** 

JINA:        DENIS JACKSON
MAELEZO BINAFSI: Natafuta binti wa kike/mwanamke mrefu mwembamba kwa ajili ya uchumba na badae
ndoa .
UMRI WAKE :Awe na umri kuanzia 18-25
ELIMU YAKE:Awe na elimu kuanzia form 4 na kuendelea
ELIMU YANGU:Mi elimu yangu ni ya chuo
MAWASILIANO: tuwasiliane kwa email hii  denisjacksone@yahoo.com 
**************************

JINA:      EMMANUEL NGAMA
MIAKA: 19-22
JINSIA :mwanaume
NCHI NINAYOISHI: TANZANIA
MKOA/MAHALI: Naish mbezi dar es salaam
MAELEZO BINAFSI: Natafuta mchumba wa kike kat ya umri 17-21 anayejiheshimu awe popote pale na
kabila lolote namba 0717057552
******************

Habari yako kaka mpekuzi ,

Ni matumaini yangu kuwa ni mzima wa afya na unaendelea vizuri na maisha.

Nilikuwa naomba uniwekee information zangu za kutafuta rafiki kwenye blogu
yako. Nitashukuru sana ukini wekea tangazo langu.


Jina Langu: Tina

Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: kati ya miaka 32 - 36
Natafuta: rafiki wa kiume kwa ajili ya long term relationship
Umri wake: uwe miaka kati ya 33 - 37
Jinsia ya rafiki: awe mwanaume
Nchi ninayoishi: Nipo Europe

Nch anayoishi: awe anaishi pia nje ya Tanzania
Umbo langu: wastani
Muonekano wangu: wastani
Oa/Olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/Olewa (yeye): awe hajawahi kuoa, asiye na mke wala mchumba
Mtoto (mimi): sina mtoto
Mtoto (yeye): asiwe na watoto
Dini yangu: mkristo
Dini yake: pia awe mkristo
Sigara (mimi): sivuti
Sigara (yeye): asivute
Pombe (mimi): situmii pombe
Pombe (yeye): asiwe anakunywa pombe au awe anakunywa kidogo ila asiwe mlevi
E-mail yangu: tinakambi@yahoo.com
Simu: nitampatia baada ya kufahamiana

Maelezo zaidi: Natafuta rafiki ambaye ni mpole, asiyekuwa mkali, mcheshi,

mstaarabu, ambaye yupo serious na ambaye anaishi nje ya Tanzania. Pia Mungu
akijalia tufike mbali kwenye ndoa na awe tayari kupima ukimwi.
*********

Iam Ipiah Hadji, iam male, aged 26.
i live in kenyan coast but travel alot to arusha and dar.

i work with a pharmacitical firm i co-own. I'd like a friendship with a
tanzanian lady of age 18-26. My email, msapasm@gmail.com


serious ladies only.
(THIS IS A NEW REQUEST,   19/10/2011)

 ******
Mimi ni Salome, msichana wa miaka 32, sijawahi kuzaa wala kuolewa. natafuta ,mchumba
ambaye tutafunga ndoa, elimu yangu ni chuo kikuu. kwa sasa naishi dar es
salaam
. Mchumba ninayetafuta awe na elimu ya chuo kikuu, umri kuanzia 32-40,
asiwe mlevi(mimi sinywi), awe mkristu.


************

MIMI NI  MSICHANA MWENYE UMRI WA MIAKA 23. NATAFUTA RAFIKI WA KIUME MWENYE UMRI KUANZIA MIAKA 30-35 .KABILA LOLOTE, DINI MKRISTO, ELIMU FORM FOUR NA KUENDELEA.
JINA LANGU HAPPINESS TIMOTHEO
PIA ASIWE NA MKE/MTOTO.
NAMBA YA SIM: 0665010788
E-MAIL happinesstimotheo@yahoo.co.uk
(THIS IS A NEW REQUEST,   24/8/2011)


Natafuta rafiki wa kuchat naye na kubadilishana mawazo .Nina miaka 40 na yeye awe na hiyo kwenda juu.Email yangu ni :
suzanayohana@yahoo.com.Mawasiliano mengine nitampa mara baada ya kuwasiliana na mimi.Ni mimi SUZANA YOHANA. 
(THIS IS A NEW REQUEST,   10/8/2011)


mosengo nipo dar kupitia ukurasa huu wa ukweli natafuta mama mtu mzima kuanzia miaka 35 na kuenderea kwakifupi hutajuta kuwa na mimi wewe nitafute 0718 67 45 40 tuma meseji ukikuta haipatikani. (THIS IS A NEW REQUEST,   05/8/2011)


natafuta msichana wa kuoa awe na umri kati ya miaka 18-23 umri wangu ni miaka 18-27.awe mkristo na anayependa maendeleo.kazi yangu afisa mikopo dodoma.japo nina degree ya uhasibu/mawasiliano email.  kato.rojas@yahoo.com  0756145518 au 0656189445    (THIS IS A NEW REQUEST,27/7/2011)


 Naitwa, John natafuta mchumba (Binti umri  21 - 28 ) awe na asili ya chotara au kutoka Mkoa wa Manyara.

Tuwasiliane kwa Email: billy2try@yahoo.com kwa mawasiliano zaidi na namba za simu..........(THIS IS A NEW REQUEST,4/7/2011)Farida Mohamedi 
Umri wake 32-40
Umri wa anayemtafuta 32-40
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Awe muislam,awe na elimu ya chuo,awe muadilifu ambaye hajawahi kuoa au kuacha mke. Awe tayari kupima HIV.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Elimu yangu ni kidato cha nne.Napenda kujiendeleza zaidi kielimu.
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email mossikala@yahoo.co.uk
Simu yake 0784-982007
Sababu ya kutafuta ni Kuolewa


davy
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo mwelewa, mvumilivu,mwenye kujali.
Wasifu wake na vitu anavyopenda chuo kikuu, mkristo, napenda music kama country, R&B, GOSPEL songs playin table tennis na basket ball.
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email davyngowi@yahoo.com
Simu yake 0717026427
Sababu ya kutafuta ni kufanya familia


immaculate
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 26-32
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo awe na elimu ya chuo kikuu;mrefu; mweupe.pi awe mcha mungu
Wasifu wake na vitu anavyopenda rnina ellimu ya RMA chuo;NINA PENDA MUZIKI; NA KWENDA KANISANI
Nchi anayoishi sasa TANZANIA
Email ivon@ yahoo.com
Simu yake 0763725451
Sababu ya kutafuta ni ndoa


lakson kilulu mpanda
Umri wake 32-40
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo kabila lolote ndani ya east Africa,urefu futi 5-5.6 natural colour elimu darasa la saba - shahada ya pili dini mkristo anayeamini kuwa kristo ni bwana na mwokozi nb awe all weather
Wasifu wake na vitu anavyopenda kabila mnyamwezi,colour black urefu 5.9 umbo wastani elimu diplomaya juu, napendelea gospal kwaya, mboga za majani ugali na sports
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email ckilulu @yahoo.com
Simu yake 0717232312 (msg only)
Sababu ya kutafuta ni soma mwanzo.2,18-25


hilda
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo must not be an african.loving caring,&understanding
Wasifu wake na vitu anavyopenda im hilda,seniour six leaver.like making frenz, traveling.
Nchi anayoishi sasa tanzania
Email edinalaizer@yahoo.com
Simu yake +255762169579
Sababu ya kutafuta ni 4marriage


claudia
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo awe portable mrefu jinsia yoyote.sibagui dini wala kabila
Wasifu wake na vitu anavyopenda mimi ni mwanachuo mwaka wa pili.napenda kusoma hadithi na kuangalia filamu.
Nchi anayoishi sasa tanzania
Email claudiarinngostar@yehoo.com
Simu yake 0756080543
Sababu ya kutafuta ni kuchati


Jesca Paul
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Awe mpenda maendeleo, mwenye ushauri mzuri na awe serious na urafiki si vinginevyo, asiwe mlevi,mvuta bangi au mwizi.Awe na kazi maalum.mfano mfanyabiashara n.k.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Mi ni mrefu kiasi,maji ya kunde,mwembamba na mpenda maendeleo na ushauri wa busara. Nasomea ualimu grade IIIA mwaka wa pili,Napenda kupigiwa sio kubp na sipendi dharau wala majivuno.
Nchi anayoishi sasa tanzania
Email pjesca2007@yahoo.com
Simu yake 0752884894
Sababu ya kutafuta ni Ushirikiano ktk kutafuta maendeleo


paskazia peter
Umri wake 26-32
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Nataka rafiki wa kubadilishana mawazo ya kimaisha
Wasifu wake na vitu anavyopenda nimesomea accounts na napendelea kutumiana zawadi na postal cards
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email ppaskazia@yahoo.com
Simu yake +255754680646
Sababu ya kutafuta ni napenda kuwa na marafiki


lulu michael
Umri wake 18-25
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Wakawaida
Wasifu wake na vitu anavyopenda Elimu ni chuo, Napenda kuchat, kutembeleana na kutumiana zawadi
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email lulu.michael@yahoo.com
Simu yake 0756694365
Sababu ya kutafuta ni Urafiki


Mimi ni dada wa miaka 30, naishi dar es salaam maeneo ya Kijitonyama, na pia nimeajiriwa na kampuni binafsi.

Natafuta mchumba ambaye ni mkweli, mwenye upendo wa kweli (dhati)na aliyetayari kupima ukimwi kabla ya kuanza uhusiano. umri ni kuanzia miaka 30 hadi 36, awe ni mkristo ambaye anamcha mungu. awe ni mfanyakazi au mfanyabiashara, kabila lolote lile. elimu yangu ni ya collage. sijabahatika kuwa na mtoto, namtanguliza mungu katika ombi langu hii.

Kwa mawasiliano email to mary3016@ymail.com


yvanse mwangi
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo awe mwaminifu,mzuri tabia
Wasifu wake na vitu anavyopenda mwaminifu anayependa kufurahi wakati wowote
Nchi anayoishi sasa kenya
Email mwangi.evans@yahoo.com
Simu yake +254724645553 or +255754915541


Asia Abdi lembariti
Umri wa anayemtafuta 26-32
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Anaye penda kuswali,elimu,michezo napia anautu asiwe na roho isiyo na upendo waku huruma.kwa ujumla mpenda atu na maendeleokwa ujumla.MPOLE-MKARIMU
Wasifu wake na vitu anavyopenda Upandew wa elimu nimemaliza kidato cha sita ,napenda sana kusoma, kuwa na marafiki waelewa kwa sana,Wapole kwa ujumla
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email eshlem@yahoo.com
Simu yake 0784395877
Sababu ya kutafuta ni Upendo wa kweli /na mawasiliano


Begsen Kidambi Liveha.
Umri wa anayemtafuta 32-40
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Natafuta rafiki mwanamke ambaye ameachana na mumewe na anajitegemea kivyake na mwenye mali na senti nyingi.asiwe mvuta sigara.awe mwenye mapenzi tele tele na mrefu futi 5'4''.Dini-mkristo au mwislamu kutoka Tanzania au kokote afrika mashariki.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Mimi nina umri wa miaka 27.urefu wa futi 5'8''.naishi Eldoret na nimeitimu katika masomo mbali mbali huku nikiwa na vyeti vya kudhibitisha.nina uzito wa kilo sabini na tano,mwenye afya bora na mwenye sura ya kupendeza.
Nchi anayoishi sasa Kenya
Email kidambibegsen@yahoo.com
Simu yake +254711673624
Sababu ya kutafuta ni Nimegundua kwamba akina mama ndio wanajuwa kuwatunza vijana na ndio wenye mapenzi tele.


Mariam Mohamed
Umri wa anayemtafuta 26-32
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo napenda awe mkristo RC pia awe maji ya kunde asiwe mnene sana ni wa wastani pia awe mcheshi mwenye kuambiwa kitu akasikia na kukifanyia kazi awe na upendo wa kweli nifungue nae ndoa
Wasifu wake na vitu anavyopenda elimu yangu ni form four na ninafanya kazi katika kituo cha utafiti wa afya IHI napendelea kutembelea marafiki ndugu kufanya kazi kwa bidii pia mimi ni mcheshi sana
Nchi anayoishi sasa Ifakara
Email haddasa2@yahoo.com
Simu yake 0787 666523
Sababu ya kutafuta ni Ndoa


Jacob
Umri wa anayemtafuta 32-40
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Mwenye aina yoyote, asiyetumia pombe au madawa ya kulevya. Asiwe nusu mita kwa urefu na si mwenye chuki ya mda mrefu. Dini na Kabira lolote.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Ninapenda sana muziki na ngoma za kikwetu. Nimesoma chuo kikuu kuhusu mawasiliano. Ninapenda kila mambo ya jamii ya weusi.
Nchi anayoishi sasa Rwanda
Email logmancanoec@yahoo.ca


magreth samwel
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea,kabila lolote,mfanyakazi sio mwizi.dini yoyote,mrefu maji ya kunde na awe mstaarabu.
Wasifu wake na vitu anavyopenda Elimu kidato cha sita,natokea mkoa wa kaskazini mwa nchi yetu,mkristo,nafanya kazi NGO'S
Nchi anayoishi sasa Tanzania
Email magrethsmwl@gmail.com
Simu yake baadae
Sababu ya kutafuta ni mumeDenis John
Umri wake 26-32
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo umri kati ya miaka 23 mpaka 27. awe at least na elimu ya juu au mwanafunzi kwenye chuo chochote cha elimu ya juu. Awe tayari kupima afya yake. awe na wivu wa maendeleo.
Wasifu wake na vitu anavyopenda mimi nipo marekani kwa masomo, nafanya masters.
Nchi anayoishi sasa USA
Email denisjohnjr@gmail.com
Simu yake baadae
Sababu ya kutafuta ni mchumba baadae ndoa


Mwasiti Maige
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Nahitaji rafiki wa kawaida, awe mwenye umri kuanzia 27- 35, awe mkweli,mwaminifumwenye msimamo, mpenda maendeleo na ukweli huo wa kutoka ktk damu si wakuiga, pia awe na elimu ya 1v na kuendelea, mwislamu na hata kama si mwislam unakaribishwa. awe mrufu kiasi, rangi yeyote.
Wasifu wake na vitu anavyopenda mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, ni mwenyeji wa Tabora ila kwa sasa naishi Dar, elimu yangu ni IV, ni mkweli, mpenda maendeleo,na ninamsimamo pia, mi nimfupi, mweusi wastani.
Nchi anayoishi sasa TANZANIA
Email mwasitimaige@yahoo.com r
Simu yake 0712 506714
Sababu ya kutafuta ni kuwa marafiki wa kweli na badae kuoanahersun early mazoa
Umri wake 26-32
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo si mnene si mwembamba,wastani awe ni mrangi kutoka babati, or any place of T.Z
Wasifu wake na vitu anavyopenda mimi rangi ya maji ya kunde,niko na certificate&diploma katika customer services sales,retail operations.football fan,adventurer.
Nchi anayoishi sasa United Arab EMIRATES
Email mazoa2005@yahoo.com
Simu yake +971501252148
Sababu ya kutafuta ni Marfiki baadae kuoana


Joseph Kingola
Umri wake 32-40
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Mcheshi na msomi
Wasifu wake na vitu anavyopenda Chuo Kikuu
Nchi anayoishi sasa Zanzibar
Email ndondo2008@yahoo.com
Simu yake 0785091065
Sababu ya kutafuta ni ndoa


ANGEL AGRREYS
Umri wa anayemtafuta 26-32
Anatafuta Mchumba
Jinsia anayoitaka Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo AWE AMESOMA ELIMU YAKE ANGALAU AWE AMEFIKA FORM SIX PIA AWE NI MFANYAKAZI AU AWE MFANYABIASHARA. PIA NAPENDA AWE NI MCHA MUNGU NA AWE NI MKRISTO NA AWE NI MCHA MUNBGU
Wasifu wake na vitu anavyopenda ELIMU YANGU NI FORM SIX NI MFANYAKAZI KATIKA BENKI YA CRDB DAR ES SALAAM
Nchi anayoishi sasa TANZANIA
Email angel@rocketmail.com
Simu yake 0763882313
Sababu ya kutafuta ni kuishi pamoja


moses sindani
Umri wa anayemtafuta 26-32
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo mie ni msomi wa uchumi na ninafanya kazi kama hasibu nchini Kenya. Jiji la Nairobi na kampuni moja ya kibnafsi. Ningependa kujiunga na watu wenye habari kuhusu biashara na uchumi wa tabaka mbalimbali. Elimu sio kikwazo. naamini naweza nikasema na mtu wa kisomo chochote. Kiingereza, Kiswahili na Kifaransa.
Wasifu wake na vitu anavyopenda mie ni mhasibu nchini Kenya. Elimu yangu ni ya juu kiasi- (master). napende kujihuzisha na mambo ya pesa na kibiashara. jinsia ya rafiki mie napenda zote bila kubagua. pia umri sina mkato ila tu huu mtandao umeunda kutia mkato. uwe mvulana au msichana, karibu tusemezane.
Nchi anayoishi sasa Kenya
Email moses.sindani@gmail.com
Simu yake +254735455160
Sababu ya kutafuta ni kubadilishana mawazo na ujuzi.


HERRY HMPREY
Umri wa anayemtafuta 18-25
Anatafuta Rafiki
Jinsia anayoitaka Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo Awe mcha Mungu,Mpenda maendeleo,Mcheshi,Anayependa kuchart
Wasifu wake na vitu anavyopenda mimi ni mvulana,ninasoma chuo,ninapendelea muziki,wa aina zote hasa Gospel,na frava za aina zote.napenda kuchart,kubadilishana mawazo,charange,na michezo ya aina zote.
Nchi anayoishi sasa K'LA UGANDA
Email herrykab@yahoo.ca
Simu yake 0764721021
Sababu ya kutafuta ni exchange ideas


MPENDWA MSOMAJI,KAMA UMEGUSWA NA MAADA HII,AU KAMA UNATAFUTA MCHUMBA,NIANDIKIE DETAILS ZAKO KWENYE HII FORM.VITU VINAVYO TAKIWA NI
JINA:............
UMRI:.........
JINSIA:.......
EMAIL:........
                       NAMBA YA SIM:............. 
                         MAHALI ULIPO................ 
                             UJUMBE WAKO.................... 


HABARI KAMILI..>>>