Showing posts with label ngono. Show all posts
Showing posts with label ngono. Show all posts

Saturday, September 22, 2012

VIDEO YA NGONO YA KANYE WEST YASAMBAA MTAANIRapper Kanye West anaweza kujikuta katika aibu kubwa baada ya kudaiwa kusambaa kwa video ya dakika 20 inayomwonesha akifanya mapenzi na mwanamke asiyejulikana.

RadarOnline.com inaripoti kuwa kuna mtu anayeiuza tape hiyo kwenye vyombo vya habari.

Mwakilishi wa Radar amedai kuwa wameiona video hiyo na kuthibitisha kuwa ni kweli anayeonekana ni Kanye West.

Tape hiyo inadaiwa kurekodiwa kwenye chumba cha hoteli na mwanamke asiyejulikana na ambaye anafanana na mpenzi wake wa sasa Kim Kardashian.

Mwanzoni mwa video msichana huyo anasikika akisema ana miaka 18.

Anadai kuwa ameolewa na yupo hapo kufanya mapenzi na Kanye kwasababu mume hamtimizii haja yake tena.

Chanzo kimoja kimedai kuwa Kanye West ameshtushwa vibaya na kuvuja kwa tape hiyo na kwamba alikuwa akifanya kila awezalo ili kuifanya isisambae.

“If this were to hit the market it would be worth a fortune, there would definitely be a lot of people wanting to see this,” kilisema chanzo hicho.

“Kanye was practically in tears when he heard the tape was being shopped.”

Kama ikisambaa, tape hiyo itakuwa na madhara makubwa kimuziki kwa Kanye West.
HABARI KAMILI..>>>