Showing posts with label picha za utupu. Show all posts
Showing posts with label picha za utupu. Show all posts

Saturday, October 20, 2012

PENZI LA NEY WA MITEGO LAMCHANGANYA BINTI WA 20 PERCENT


Asfa Omary Neema
 MWIGIZAJI wa kike katika ya tasnia Bongo Movies Asfa Omary Neema 20% ameshindwa kuficha hisia zake pale alipodai kuwa pamoja na umri wake mdogo anamzimia sana msanii wa Bongo fleva, Ney wa Mitego.

 "Siyo siri ,nampenda sana Ney wa Mitego na natamani awe mume wangu wa ndoa hata kesho kama akikubali, kama ingekuwa wasichana tunaruhusiwa kuwatongoza wanaume na kuolewa nao basi mimi ningekuwa wa kwanza kwa Ney, ana mvuto na shababi"  Neema 20%.

Neema ni msanii aliyevuma na kuibuka kupitia filamu ya 'Furaha Iko Wapi' iliyotungwa na msanii wa muziki wa Bongo fleva Hamis Kinzasa "20 Percent" amedai kuwa anampenda mwanamume anayejiamini na kuwa mtanashati...


Anadai kuwa hizo sifa anaziona kwa  msanii Ney  pekee na si mtu mwingine, na atafanya kila juhudi ili aweze kuishi na msanii huyo
HABARI KAMILI..>>>

Friday, October 19, 2012

KUNA TETESI KUWA "RAY C" AMEKUWA TEJA KISA KIKIWA NI MADAWA YA KULEVYA.....HIVI SASA AMELAZWA

Kuna tetesi kuwa Ray C kwa sasa kawa teja la kutupwa na kwa sasa amelazwa hospitali moja huko mbulu.

 Dar kawakimbia waandishi wa habari. Tetesi zaidi zikipatikana zitaletwa kwenu wanajamvi. 

Uteja wake umemfikisha mahala pa kuwa akikutembelea nyumbani kwako, hasa ndugu lazima aondoke (aibe) na chochote hata kama ni ndala, kama ilivyo kawaida ya mateja wengine.....

HII  NDO RIPOTI YA MTANDAO WA  MSNHABARI KAMILI..>>>

HII NDO HARUSI YA AUNT EZEKIELI ILIYOFUNGWA KIMYA KIMYA


HONGERA AUNT EZEKIEL....LAKINI UTULIE  SASA
HABARI KAMILI..>>>

AIBU: HUU NDO UCHAFU UNAOFANYWA NA KIKUNDI CHA " KANGAMOKO"Kanga moko ni kundi ambalo linatia aibu.....Washiriki wake hucheza  UCHI  ama  hubakiza  Kanga  moja  tu.........

Staili yao ya kucheza  inatia  aibu.Hucheza mfano wa watu wanaofanya  mapenzi.Mchezo huo hufanyika mbele  ya  kundi la watu wa rika mbali mbali  wakiwepo  watoto......


Huu ni wakati muafaka  kwa BASATA  kuliangalia hili
HABARI KAMILI..>>>

KIONGOZI WA NIDHAMU BONGO MOVIE AJITOA


MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Herieth Chumila aliyekuwa ni kiongozi wa nidhamu katika kundi la Bongo Movie Unity linaloundwa na wasanii wenye majina ameachia ngazi.
 
"Ni kweli nimejitoa katika uongozi wa kundi hilo kutokana na matukio yanayotokea katika kundi hilo la Bongo Movie ya utovu wa nidhamu katika jamii yetu.
 
  Sisi ni watu tunaojiheshimu katika familia zetu, inakuwa vigumu jamii kutuelewa kama nasi si kati yao ya wasanii hao wenye kashifa, jambo la msingi ni kujiudhuru katika uongozi," alisema Herieth.

Msanii huyo amebainisha kuwa hali ya kundi hilo kwa sasa si kama zamani limegawanyika na kukosa muda wa kukutana na kuweza kuonyana hata kupeana ushauri kama ilivyokuwa awali jambo lilomfanya mwanadada huyo kumwaga manyanga katika uongozi huo kama kiongozi wa nidhamu katika kundi hilo na sababu kuu kuogopa kutukanwa na wasanii hao waliojipindia.

Herieth alifikia uamuzi huo baada wasanii wawili wa kundi hilo Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kukumbwa na kashfa ya kucheza katika majukwaa nusu uchi hivi karibuni huku baadhi ya wasanii wa kundi pia kuvuma kwa kashfa za ngono.

HABARI KAMILI..>>>

AUNT EZEKIEL KAFUNGISHWA NDOA KIMYA KIMYA


 Hizi ni picha za harusi ya Aunt Ezekiel ambazo zimesambaa kwa kasi mtandaoni.......


Mojawapo ya picha hizo,Aunt anaonekana akisaini  CHETI cha ndoa kwa mujibu wa taratibu za kiisilamu.......

 Mapema mwaka huu,Aunt alivishwa pete ya uchumba na mpenzi wake  Sunday Demonte  huko Dubai.......

PICHA KAMILI ZINAKUJA....

HABARI KAMILI..>>>

Wednesday, October 17, 2012

MBUNGE WA MBEYA AAMUA KUJIKITA KATIKA BIASHARA YA POMBE.
Wanywaji wa pombe nchini wategemee kupata ‘kick’ ya nguvu kutoka kwenye kilevi kipya kinachoanzishwa na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi.

Kilevi hicho kinaitwa ‘Deiwaka Gin’ – The spirit of Tanzania.
Sugu ameivunja habari hiyo jana kupitia ukurasa wake wa Facebook kwa kuweka logo ya kilevi hicho na kuandika, “COMING SOON TO A BAR NEAR U.”

Wazo hilo la kuanzisha kilevi linaashiria kuwa mipango yake ya kuingia kwenye bishara ya radio kama alivyokuwa akiwaza kwa muda mrefu limekufa rasmi ama ameliweka pending kwanza.

Pamoja na wazo hilo kuungwa mkono , wapo watu wenye hofu na biashara hiyo ya Sugu ambapo mmoja amesema, “Hii kwa vyapombe iko poa! Ila kwangu mimi naona ni katika harakati za kututoa katika reli na ku support ushetani.”

“Hofu yangu ni mapafu ya wapiga kura, nikiwaumiza lazima nguvu kazi itapungua,” alisema mwingine.

Unaizungumziaje idea hii ya biashara ya Sugu?
HABARI KAMILI..>>>

Tuesday, October 16, 2012

HII SASA NI ZAIDI YA " SODOMA NA GOMOLA"....KITI CHAGEUZWA KITANDA.


Hakika  huu ndo mwisho wa dunia........Huu  ni  uchafu  ambao hufanyika  katika  Garden moja ijulikano kwa  jina  la  Murilo.......

Ni  kitovu  cha uchafu,  laana, maasi  na  dhambi  zooooooote   unazozijua  hapa duniani........

Hiyo ni  kambi ya Vigogo,wanasiasa  na  wasanii  mbali mbali  toka  Tanzania, Kenya na Uganda.......

Kahaba  ni kahaba tu......Malaya  ni  malaya tu.  Hakika  wanadamu tumeasi.Iko haja  ya  kumrudia  mwenyezi mungu........

 Kitovu  cha uchafu huo kipo Kenya.

HABARI KAMILI..>>>

"UNAYAJUA YALIYOMKUTA AMINA CHIFUPA?.....SASA TUKUONE UMEKUWA MWANASIASA".......HIVI NI VITISHO KWA LOVENESS WA CLOUDS FMUnakumbuka kuna muda mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva alitangaza kuwa mwaka 2015 atagombea ubunge? 

Well, hakuwa anatania kwani hivi karibuni alianza kwa kuchukua kadi ya uanachama wa CHADEMA......
Diva akionesha kadi yake ya uanachama wa CHADEMA

Lakini pamoja na kuchukua uamuzi huo, jana Diva amesema amepewa vitisho kutoka baadhi ya watu kuwa hatofika popote na huenda yakamtokea kama ya marehemu Amina Chifupa.

“Kuna watu walinikalisha chini 4hours, wananiambia umemuona Amina Chifupa, kaishia wapi?! Basi niliogopa sana,” alitweet kumweleza mbunge wa jimbo la Kawe mheshimiwa Halima Mdee.

“Don’t tell me u give in so easily…..I thought i knew you…..kumbe mwoga?umenidisappoint!,” alisema Halima.

Mazungumzo na mheshimiwa Mdee yalimpa nguvu kidogo mtangazaji huyo ambaye aliandika,

 “Really?Basi Umerudisha imani yangu, Its official am in , Joining the movement , sitagive up tena,tatizo my friends hate politics.”

HABARI KAMILI..>>>

Monday, October 15, 2012

WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAAMUA KUOMBA RADHI KUTOKA NA PICHA CHAFU WALIZOPIGA WAKATI WA FIESTAWaigizaji wa filamu nchini Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamewaomba radhi watanzania kwa picha zao mbaya walizopigwa kwenye show za Fiesta.

Wasanii hao wamezungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuomba radhi kwa kupigwa picha hizo za nusu utupu walizopigwa kwenye show hizo.


Wakiongena waandishi wa habari Aunty Ezekiel amesema ameumizwa na kitendo hicho kwakuwa wao kama wanawake katika jamii, wana wazazi, ndugu jamaa, marafiki pamoja na mashabiki wao wanaowapenda na kuwaheshimu.
Hivi karibu Aunty Ezekiel alijitetea na kunukuliwa kwenye chanzo kimoja akisema, “Ni kweli nilikuwa ninacheza katika Jukwaa (Stage) na nilikuwa nimekunywa, lakini sikuwa nimedhamiria kukaa uchi bali ni mbinu za wapiga picha ambao walitumia njia ya kuamua kunidhalilisha kwa kunipiga picha wakiwa chini ya Jukwaa (Stage) ili wapate kuuza magazeti yao, hata ukiangalia picha zenyewe zimepigwa kiujanja sana.”

Waigizaji hao waliongozana na katibu Mkuu wa shirikisho la filamu Tanzania, TAFF, Wilson Makubi.
HABARI KAMILI..>>>

"NAWAPENDA WANAUME WA KIZENJI KWA SABABU WANAJUA UPENDA"......BABY J


MSANII wa ngoma ya ‘Bwashee’, Baby J, amedai kuwa wanaume wengi wa Tanzania Bara si wapendaji bali wengi ni wale wanaotaka kumchezea mwanamke na mwisho wa siku wanamtema tofauti na wanaume wa Visiwani ambao hupenda na huwa na mapenzi ya dhati kwa mwanamke.

Mwandishi wetu alifanya mazungumzo mafupi na msanii huyo juu ya muziki wake pamoja na maisha kwa ujumla ndipo alipoitoa ishu hiyo, kwa madai kuwa wenaume wengi Bara wanapenda kutoka na mwanamke mrembo mwenye kila aina ya mvuto na ndiyo maana wanakuwa na tabia ya kuacha acha hovyo.
 
Alidai kuwa Zanzibar wanawake wengi ni wale ambao wanaovaa baibui muda wote na hawana tabia ya kuonyesha miili yao na ndiyo maana unakuta hata wanaume hawana tamaa ya kutamani kila mwanamke wanayemuona mbele yao.

“Hakuna wahalibifu kama wanaume wa Dar yani ukicheka tu umekwisha, unajua hii ni tofauti sana na wanaume wa Visiwani na nahisi inatokana na wadada wenyewe kuvaa nguo za mitengo mno ambazo huacha sehemu kubwa za mwili zikiwa wazi hivyo humfanya mtoto wa kiume atumie kila njia kukupata,”
alidai.
HABARI KAMILI..>>>

Sunday, October 14, 2012

TANZANIA YAJIPANGA KUZIMA SIMU ZOTE ZA KICHINA (SIMU FEKI)Tanzania inatarajia kuchukua hatua kama iliyochukuliwa nchini Kenya ya kuzichinjia baharini simu zote za bandia ambazo nyingi ni za kichina kwa kuzizima kabisa.

Taarifa hiyo imetolewa na kaimu meneja mawasiliano wa mamlaka ya mawasiliano (TCRA) Semu Mwakyanjala ambaye amesema mamlaka hiyo itaanza kwa kutoa elimu kwa umma kuhusiana na umuhimu wa kununua simu halali.


Ameliambia gazeti la Daily News Jumapili kuwa hatua hiyo itachukuliwa na nchi zote wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki zikiwemo Rwanda, Uganda na Burundi.

Kuna taarifa kuwa makampuni mengi ya simu nchini Tanzania yameupokea mpango huo kwa shingo upande kwa hofu kuwa yatapoteza wateja wengi.

Kwa upande wa tume ya mawasiliano ya Uganda (UCC) hatua hiyo ya kuzima simu bandia itafanyika mwishoni mwa mwezi November.
HABARI KAMILI..>>>

Saturday, October 13, 2012

JOH MAKINI ANASWA LIVE......


PICHA yenye utata ya staa wa michano ya Hip-Hop Bongo, John Simon ‘Joh Makini’, imenaswa ikimuonesha akiwa katika pozi la ‘kimahaba’ na binti ambaye jina halikufahamika

Kwa mujibu wa mtoa habari, Joh Makini alipigwa picha hiyo akiwa na mrembo huyo hotelini wakati staa huyo alipokuwa mikoani kwenye shoo zake za hivi karibuni.


Mwandishi wetu alipomtafuta Joh Makini ‘Mweusi’ na kumuuliza kuhusu picha hiyo, alikiri kuifahamu na kuomba ipotezewe kwani hana habari na huyo binti.
HABARI KAMILI..>>>

"WANAWAKE TUNA HAKI SAWA YA KUTEMBEA VIFUA WAZI KAMA WANAUME"...MOIRAMsichana anayeitwa Moira Johnston ameonekana akitembea matiti nje, bila blouse wala sidiria (topless) katika jiji la New York, Marekani. 
 
Moira amethibitisha kwamba anatembea matiti nje kuikumbusha jamii kwamba wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume.
 “Natembea topless kuhamasisha hiyo ni halali kwa mwanamke kuwa topless mahali popote ambapo wanaume wanaweza kuwepo bila kuvaa mashati.” MOIRA

 Moria aliendelea, “Nimekuwa natembea topless kwa muda wa wiki kadhaa sasa. Nimepata maoni mnyanganyiko.” 
Alisema kwamba watu wengi wako poa ila kuna wengine wanashangaa sababu hawajazoea kuona wanawake wakitembea matiti nje. Moira anapenda kubadilisha hilo ili iwe kawaida kwa wanawake kutembea matiti nje.


HABARI KAMILI..>>>