Showing posts with label picha za utupu. Show all posts
Showing posts with label picha za utupu. Show all posts

Saturday, January 5, 2013

PICHA YA MTOTO ALIYEZALIWA AKIWA NA MIGUU SITA


Duniani  kuna  mambo....

Huyu  ni  binadamu  mwenzetu  aliyezaliwa  akiwa  na  miguu  sita.Anakaaje,  anasimama vipi.....na  anatembeaje.....Yote tumwachie  mungu  aliyeamua  iwe hivyo

HABARI KAMILI..>>>

Friday, January 4, 2013

"ASILIMIA KUBWA YA WANAUME WA TANZANIA WANAOKIMBILIA UBELGIJI HUISHIA KUWA MASHOGA AU KUOLEWA KABISA"...HEKAKwa mujibu wa Heka Heka ya leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, wanaume wengi wa kitanzania wanaoenda kutafuta maisha nchini Ubelgiji huishia kuwa mashoga ama kuolewa kabisa.


Kipindi hicho kimezungumza na watanzania waishio nchini humo ambao wamesema hali ni mbaya ambapo wanaume wengi huishia kuolewa ili kuwa na maisha mazuri na sehemu ya kuishi.

Kwa mujibu wa chanzo kimoja, asilimia 85 ya wanaume wa Tanzania waishio nchini Ubelgiji huishia kujihusisha na vitendo hivyo hali iliyopelekea yeye ahame nchi hiyo na kwenda Marekani.

Ubelgiji ni nchi ya pili duniani kuhalalisha ndoa za jinsia moja mnamo mwaka 2003.Pia waziri mkuu wa nchi hiyo Elio di Rupo alikuwa kiongozi wa kwanza wa nchi za Jumuiya ya Ulaya kuapishwa kama shoga aliye wazi.
HABARI KAMILI..>>>

Wednesday, January 2, 2013

MREMBO AMWAGIWA MAJI YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA MPENZI WA RAFIKI YAKE....


Binti  mmoja  aliyejulikana  kwa  jina moja la Winfride  amejikuta akiuga  vibaya  mwaka  baada  ya  kumagiwa maji ya moto  na rafiki yake  wa kike.......

Ugomvi  huo ulizuka baada  ya huyo rafiki  yake  kumfuma  mara kadhaa  Winfride  akila bata  na  BOYFRIEND  wake.....

Hakika  mapenzi ni unyama.......Ni imani yetu kuwa sheria itatenda haki  kwa Winfride
HABARI KAMILI..>>>

Tuesday, January 1, 2013

VIDEO: MWANAMKE NYONGA.....KAMA NI MAKALIO KILA MTU ANAYO

video


Hili ni kundi la  baikoko........
HABARI KAMILI..>>>

Monday, December 31, 2012

BABY CANDY, SKAINA NA JACK CHUZ WAGOMBEA PENZI LA TIMBULO....


MASTAA wasichana wa mjini, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz, Skyner Ally ‘Skaina’ na Baby Candy wamejikuta wakirushiana matusi kupitia mtandao wa kijamii wa BBM kisa kikiwa ni msanii wa Bongo Fleva, Ally Timbulo.

Katika sakata hilo, Jack Chuz alitajwa kuwa ndiye chanzo cha mabinti hao kugombana kwani mmoja alikuwa akimtetea shoga yake kwa kudai anataka kunyang’anywa bwana.

Aliyelianzisha bifu hilo ni msanii mmoja rafiki yao na akina Baby Candy ambaye alianza kwa kumtumia ujumbe wa matusi Skaina na kumwambia anaiba mabwana wa wenzake akimaanisha anataka kumuiba Timbulo.


Baada ya matusi kutua kwa Skaina aliyetuma ‘pini’ ya Timbulo mtandaoni akimuombea marafiki, Baby Candy naye aliamua kumtupia Skaina maneno makali akimalizia kwa kumwambia kuwa anaingilia vitu asivyovijua.


Ilifahamika kuwa baada ya kusoma ujumbe wa Baby Candy, Skaina alimporomoshea matusi mazito ambayo hayaandikiki akimalizia kwa kumwambia kuwa hana lolote bali anatafuta tu ustaa mtandaoni.Hata hivyo, inaelezwa kuwa matusi hayo yalimkera Timbulo ambaye naye alijibu kupitia BBM akidai kuwa asingependa jina lake litumike vibaya kwani hana demu wala hawara kati yao hivyo anawaona kama machangu tu.
HABARI KAMILI..>>>

Saturday, December 29, 2012

"SIPO TAYARI KUZALISHWA KWA SASA"...BABY MADAHA


STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa kwa sasa.

Akizungumza kwa kujiamini, Baby Madaha aliweka wazi kuwa yupo bize sana na kazi zake za muziki na filamu hivyo suala la kunyonyesha litampotezea muda wake.


“We ubebe mimba sasa hivi, uilee halafu uje kunyonyesha, haya madili ya mjini yote yatafanywa na nani?” alihoji Baby Madaha na kuongeza:


“Mikakati yangu kwa mwaka 2013 ni kuhakikisha nafanya mapinduzi makubwa katika muziki wa Bongo Fleva na filamu.”

HABARI KAMILI..>>>

MABINTI WA VIDEO YA TYGA WAMSHITAKI KWA KUZIANIKA CHUCHU ZAO KINYUME NA MAKUBALIANO


tyga-lawsuit
Warembo watatu wanaonekana kwenye video ya ngoma ya Tyga’s “Make it Nsty” wanadai ‘chuchu’ zao zimeonekana bila ruhusa yao.

Alissa Rae Ross, Azia Davis, na Elizabeth Velasquez wamefungua mashtaka kwa kudai kuwa walipofanya usaili kwaajili ya video hiyo kulikuwa na kipengele kisemacho “There will be NO ndity involved in the video, and all the girls will be tastefully shot.”


Kwa mujibu wa madai yao Velasquez, Davis na Ross waliombwa wakati wa kushoot video hiyo July 2, kutokea wakiwa vifua wazi katika baadhi ya scenes lakini walihakikishiwa kuwa ‘chuchu’ zao zingefunikwa ama kufanyiwa editing.

Katika mkataba wao wasichana hao wanadai kuambiwa kuwa “drty” version ya video hiyo isingetoka lakini ikatoka. 

Wasichana hao wanashtaki kwa kukiuka mkataba, kuingiliwa usiri wao na madai mengine.
HABARI KAMILI..>>>

RIHANNA AJIACHIA TENA AKIWA MTUPU......


Picha za Mwanadada asiyeishiwa  vituko ( RIHANNA)  zimeendelea kusambaa kwa  kasi  katika  mitandao mbali mbali ya udaku.....

Picha hizo  zinazomuonesha  RIHANNA  akiwa mtupu  zilianza   kusambaa  kwa kasi jana mchana  na mpaka  sasa msanii  huyo  hajatoa kauli  yoyote kuhusiana  na picha  hizo

HABARI KAMILI..>>>

Friday, December 28, 2012

TREY SONGZ AIKATAA PICHA INAYOONEKANA AKIMBUSU MWANAUME MWENZAKE....Muimbaji wa R&B Trey Songz ameibuka na kukanusha kuwa si yeye aliyepiga picha iliyoenea mtandaoni akiwa anambusu mwanaume mwenzie.


Trey amekuwa akizushiwa kuwa shoga kwa muda mrefu lakini picha hiyo imewafanya wengi waamini kuwa ni kweli sio riziki.

Picha hiyo inaonekana ilichukuwa kwenye siti ya nyuma ya gari ikionesha mtu anayefanana na Trey akimbusu mwanaume.


Baada ya kuiona picha hiyo Trey alitumia Twitter kuandika:
trey2
HABARI KAMILI..>>>

HAYA NDO MADHARA YA KUTAFUTA UTAJIRI KWA WAGANGA WA KIENYEJI......YALIYOMKUTA HUYU MZEE HATA KAA ASAHAU


 Bora  kufa  masikitini  kuliko  kichapo  cha  namna  hii alafu mwisho wa siku  huambulii lolote...

Waganga  wetu ni waongo.....Anakwambia  uwe  tajiri wakati  yeye  hata  nyumba  hana......

Anakwambia  atamrudisha mpenzi  wako  aliyekimbia  wakati  yeye  hata  mke  hana.......

POLE  MZEE...JARIBU NA MSAADA  WA MAOMBI  MAANA KWA  MUNGU HAKUNA  MAKOFI
video
HABARI KAMILI..>>>

Wednesday, December 26, 2012

VITUKO VYA KRISMASI: NGUO ZA NDAN HADHARANI, SIGARA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SANA

Mrembo  akiwa busy kuzikuna nyeti  zake bila kujali  watu....Kwake chupi  si kitu.Ionekane, au  isioneka  kwake ni sawa tu.....


Machangdoa nao hawakukosekana....Baadhi  yao walinaswa  wakipiga sigara na madawa  mengine ili kujipa  ganzi kwa  ajili  ya wateja  wao........

Kwa kifupi  ni kwamba, Mengi yametendeka wakati  wa sikukuu ya krismas.Kila mtu  aliamua  kutoka  kivyake  maadam  akidhi  haja zake......

 Neno  "machangu"ni la kawaida  siku hizi....Mwanamke  kuvuta  sigara  naona pia  wamelihalalisha.......

Jambo  la msingi ni kwamba TUKUMBUKE KUCHEZA SALAMA.....UKIMWI UPO NA UNAUA

 

HABARI KAMILI..>>>

Monday, December 24, 2012

SAKATA LA MUME ALIYEMFUMANIA MKEWE AKIJIUZA

Mwanaume mmoja mkazi wa Kinondoni, Dar es Salaam, aliyejulikana kwa jina moja la Ombeni amemfuma laivu mkewe aitwaye Dina, akijiuza huku akidai kuwa mama watoto wake huyo kaacha kichanga nyumbani.

Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri katika Barabara ya Shekilango, maeneo ya Sinza, Dar usiku mnene wa saa 8:25 kuamkia Jumamosi iliyopita.

Ombeni alidai kuwa alifika nyumbani kwake Vijana-Kinondoni, majira ya saa 6:15 usiku akitokea safarini mikoani alikoenda kikazi takribani wiki mbili zilizopita ambapo alipoingia ndani aliwakuta wanaye wamelala bila mama yao.


“Nilimwamsha hausigeli, nikamuuliza mama yupo wapi? Ndiyo akanieleza kila kitu baada ya kumtishia kumfukuza kazi. Aliniambia siku hizi mke wangu anajiuza Barabara ya Shekilango,” alisema jamaa huyo.


Baada ya kujikusanyia data, ndipo alipowatafuta wanahabari ambao aliwaomba walifuate gari lake kwa nyuma kwani alikuwa akimsaka mkewe.


Haikuwa kazi rahisi kumpata mkewe kwani zoezi lilianza saa 7:05 hadi 8:25 usiku huku akifanya ‘ruti’ za kumwaga kutoka Shekilango hadi Mwenge na Mwenge hadi Shekilango.

Alipofanikiwa kumwona mkewe na kumwita kwa jina lake la Dina, ndipo akashtuka na kuanza kutoka nduki kisha kutokomea gizani akiwa na wenzake.


“Niliambiwa nikakataa, sasa nimeshuhudia kwa macho yangu, hakuna sababu ya kupindisha maneno. Nilimlipia mahari karibu ng’ombe tisa, atakapofika nyumbani ataikuta talaka ikimsubiri,” alisema Ombeni akionekana mwenye hasira.


HABARI KAMILI..>>>

Sunday, December 23, 2012

TAARIFA YA POLISI KINONDONI KUHUSU MAKAHABA WANAOJIUZA KUKAMATWA NA DAWA

.
Polisi Kinondoni Dar es salaam imetangaza kukamata watu 38 kwenye oparesheni iliyoendeshwa kukamata watu waliofanya makosa mbalimbali ikiwemo ya kuuza miili na majambazi.

Kamanda wa polisi Kinondoni Charles Kenyela amesema huo msako umewapa nafasi ya pia ya kukamata wasichana watano wakazi wa Mwananyamala wanaojihusisha na biashara ya kuuza miili yao Dar es salaam ambapo wakati wamekamatwa wamekutwa na dawa zilizosagwa pamoja na vidonge kwa ajili ya kuwalewesha watu wanaokutana tayari kwa kununua mapenzi na huweka hizo dawa kwa hao wateja kwenye vyakula na vinywaji alafu wakilewa wanawaibia na kukimbia.


Alichosema Kamanda ni kwamba hao wasichana wanashikiliwa na polisi ambapo dawa walizokutwa nazo zinaandaliwa kwa ajili ya kupelekwa kwa mkemia mkuu wa Serikali kwa vipimo kabla ya kuzipeleka Mahakamani kama ushahidi.....

  kwenye huo msako pia kakamatwa jambazi mmoja anaitwa Haji Juma akiwa na bastola aina ya Bron na alikua anajiandaa kwenda kufanya uhalifu.
HABARI KAMILI..>>>

HUU NDO UCHAFU UNAOFANYIKA WAKATI WA KUTOA MIMBA...WANAWAKE HUFANYISHWA NGONO ZEMBE KABLA YA KUHUDUMIWA

 DR. JOSHUA
Habari  ndugu zangu....

Leo  nimeamua nizungumzie  juu  ya  tukio  lakusikitisha   kidogo.Tukio  hilo linawahusu  wanawake  ambao  huenda  kwa  madaktari  kutoa mimba......

Wanachofanyiwa  wanawake  hao  UTAKAA  CHINI ULIE....!!!......

Kabla ya  kuhudumiwa,  baadhi ya  madatari  hao huwafanyisha  ngono zembe  kwa  madai  kuwa  MILANGO YAO NI MIDOGO  NA  KWAMBA  ZOEZI  HILO LITAKWAMA.......

Ili  kuupanua  mlango  huo,  daktari  huomba  penzi.Mbaya zaidi  hata  kondomu huwa  hazitumiki.....

Mbali na  kuombwa  penzi, zoezi hilo  mara nyingi hufanyika katika  mazingira  ya  kujificha  na wanawake zaidi  ya  10  hutumia  vifaa vile vile.......Pana  usalama kweli hapo????

Sipendi nionekane mzushi  au  mpotoshaji.....
 Naomba  kuyathibitisha  maelezo yangu kwa kutumia mkanda  ambao ulitegeshwa  katika  hospitali  ......

Mkanda  huo  unamuonesha  Dr. Joshua  ambaye hufanya mapenzi  na wateja  wake kabla ya   kuwahudumia.....

Baada  ya  taarifa hizo kusambaa, wanahabari walifika katika  hospitali hiyo  kwa  lengo la kutegesha  kamera  huku  wakjifanya   wana  mimba na wanataka  kuzitoa.....

AGALIA HUU MKANDA  KWA  SIMULIZI  ZAIDI:  


videoHABARI KAMILI..>>>

Saturday, December 22, 2012

"NAFURAHI SANA KUWA NA MAKALIO YENYE AFYA".....SNURA MUSHI


MSANII anayefanya vizuri kwenye filamu na muziki Snura Mushi ‘Snura’, amekili wazi kuwa makalio yake yanaongezeka siku baada ya siku na hii inatokana na mavazi anayovaa, huku nguo nyingine zikimpa wakati mgumu hata anapotembea kutokana na kumbana sana.

Akiongea na mwandishi wetu ,msanii huyo alidai kuwa amekuwa akijishangaa kutokana na makalio yake kubandilka siku baada ya siku na kuongezeka kwa kiasi kikubwa, huku baadhi ya nguo alizokuwa anavaa baadhi zinambana na hawezi kuzitumia tena.

Alisema kuwa inawezekana kukua kwa  makalio yake kunatokana na kulizika kwani sasa hana mawazo kama aliyokuwa nayo miaka kadhaa nyuma......


Aliongeza kuwa hajawahi kutumia dawa za aina yoyote za kukuza makalio na kuhusu makalio yake kuongeza anaamini ni umbo lake hivyo anahisi baadhi ya watu wenye mawazo mafupi wataanza kuhisi anatumia dawa hizo hatari na hataki watu wamfikilie vibaya, wala kuhisi anatumia.

“Utashangaa kuona picha nyingi nazopiga sasa zinaonesha makalio yangu yamekuwa sana nashindwa kuelewa ni kwa nini ila naamini maisha yangu ya sasa hayana mawazo kama ya miaka kadhaa iliyopita .....


Nafurahi  sana  kuwa  na makalio  yenye  afya aliongeza.
HABARI KAMILI..>>>

VIDEO:DUME ZIMA LAPIGWA NA MALAYA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI


KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida  kijana mmoja alijikuta akichezea kipigo kutoka kwa malaya aliye lalanae kwa kosa la kutolipa fedha baada ya kuhudumiwa usiku mzima huko  nchini kenya....

 Malaya huyo Alisema kilicho muumiza mpaka kupelekea kumpiga kijana huyo ni kwasababu kijana huyo alipewa stahili zote alizo hitaji wakati wakifanya mapenzi halafu mwisho wa siku kijana huyo akazingua kulipia huduma aliyopewa .
video
HABARI KAMILI..>>>

MSICHANA WA MIAKA 6 AMWAGIWA MAJI YA MOTO SEHEMU ZAKE ZA SIRI

Mama mmoja mwenye umri wa miaka 26   ameusikitisha umma wa watu pale alipommwagia maji ya moto mtoto wake wa kike........

Mwanamama huyo bado anashikiliwa na POLISI kwaajili ya maelezo zaidi na wanaharakati wa kutetea haki za watoto wameonekana kulivalia njuga swala hili kwa kutangaza kumfungulia kesi mwanamama huyo.
HABARI KAMILI..>>>

AIBU: VIDEO YA MWANAUME ALIYENASWA AKIFANYA MAPENZI NA NG'OMBE.....


Hii  ni  zaidi ya  Laana.......
Kijana mmoja  ambaye jina lake halikuweza kufahamika  mara  moja  amenaswa  akifanya  mapenzi na  ng'ombe  zizini.....

Tukio  hilo  la  aibu,  lilitendeka  mchana  na  kushuhudiwa  na  watu  kadhaa ambao mbali  na  kumrekodakifanya uchafu  huo, walimpa kichapo  cha  mbwa mwitu  ili  liwe fundisho  kwa  watu  wenye  roho chafu  kama huyu........

Mtandao huu  unawaasa  vijana  waachane  na tabia kama  hizi maana  ni  hatari kwa afya  zao......

Historia  inaonesha kuwa   Ugonjwa   wa Ukimwi  ulimpata binadamu wa kwanza  baada  ya kufanya mapenzi na nyani....

Inasiktisha sana kuona  kuwa  binadamu wa  karne  hii bado tunafanya  makosa yale  yale ya zamani 

HII  NDO  VIDEO  YENYEWE 
video
HABARI KAMILI..>>>

Friday, December 21, 2012

NGONO KINYUME NA MAUMBILE ( TIGO ) YAZIDI KUWAANGAMIZA WANAWAKE.....MKOA WA TANGA WAONGOZAMtandao wa Kishindo umeripoti kwamba utafiti mpya unaonyesha asilimia 27 ya wanawawake Tanzania wanafanya ngono kinyume na maumbile.

Mtafiti Mwanasayansi Irene Mremi kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadamu nchini Tanzania (NIMR) ambaye aliwasilisha ripoti hiyo kwa niaba ya watafiti wenzake wa NIMR amesema katika utafiti walioufanya umebaini asilimia 26.5 ya wanawake hukubali kuingiliwa kinyume.

Baadhi ya wanawake kutoka Kinondoni Dar es salaam, Tanga, Makete na Siha wamekiri kufanya ngono kinyume na maumbile ambapo Mremi amesema wanawake hao wamesema chanzo kikubwa kinacho wapelekea kufanya ngono kinyume na maumbile ni kujipatia kipato zaidi, Kuogopa kupata Mimba, kulinda usichana wao na baadhi ya mila na tamaduni za baadhi ya makabila.

Amekaririwa akisema “ Utafiti wetu uliwahusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na kada tofauti katika jamii kama wanafunzi, wafanyakazi, wahudumu bar, wauguzi, makahaba na akina mama wa nyumbani, katika maeneo hayo watu 903 walijitokeza wakiwepo pia wanaume ambao walihusishwa katika utafiti huo”


.
Wakati wa utafiti huo wanawake 44 kati ya 166 waliohojiwa walisema wanafanya tendo la kujamiiana kinyume na maumbile ambapo Tanga ndio kumeonesha kukithiri kwa vitendo vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ukilinganisha na Makete ambako bado kuna idadi ndogo.

Wanaume waliohojiwa wamesema wanafanya kwaajili ya kupata raha tu na imani ya kuwa huko hakuna maambukizi ya VVU/UKIMWI na wamekua wakitumia mafuta ya aina mbalimbali ilhali matumizi ya mipira ni hafifu kwani wakitumia mipira (Condom) inapunguza raha.

Wanawake pia wamedai baadhi ya tamaduni zao hasa maeneo ya Mwambao huko Tanga msichana akiuolewa na kukutwa usichana wake haupo (Bikira) ni aibu kwake na wazazi hivyo hulazimika kufanya mapenzi kinyume na maumbile, huku suala la Mimba nalo likichukua nafasi.

Watafiti hao wamesema ufanyaji huo wa ngono kinyume na maumbile umekuwa ukisababisha michubuko kirahisi na kuchangia maambukizi ya Ukimwi kwa kasi tofauti na kutumia njia ya kawaida ya kujamiiana, wanawake wengi wanaofanya ngono kinyume na maumbile wamekuwa wakipata shida wakati wa kujifungua kwa misuli yao ya kushindwa kuhimili kusukuma mtoto.

HABARI KAMILI..>>>

HII NDO VIDEO YA UNYAMA UNAOTENDEKA HUKO SOMALIA.....TUMUOMBE MUNGU ATUEPUSHE NA UNYAMA HUU

Mpaka sasa  nimeshindwa niandike nini juu ya habari  hii mana NIMESHINDWA KUIMALIZIA  HII  VIDEO......

Ni vigumu sana kuushuhudia unyama  na ukatili  kama huu ukitendwa  mbele ya binadamu mwenzako.....

Tanzania ni miongoni  mwa  nchi zilizobarikiwa  na kujaliwa  AMANI...Ni  vema  tukaitunza  AMANI  hii  maana  vitu  si kitu  cha  kitoto......

Watu ambao huathirika  na kuumia ni sisi watu  wa  chini  ambao hatuna kitu.

MUNGU  IBARIKI TANZANIA... 
video

HABARI KAMILI..>>>