Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, May 20, 2018

Gazeti la Mwananchi latakiwa kuomba radhi

adv1
Serikali imesema kuwa deni la jumla la taifa liliongezeka kwa Sh trilioni 3 katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Desemba hadi Machi mwaka huu.

Hayo yamejiri mara baada ya Gazeti la Mwananchi kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu deni hilo ambapo Serikali imetaka kupuuzwa kwa taarifa hiyo.

Aidha, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amelitaka gazeti la mwananchi kuomba radhi kwa umma kwa siku mbili mfululizo kuanzia Jumapili kupitia ukurasa wa mbele wa gazeti hilo na kwenye mitandao ya kijamii.

Hata hivyo, Dkt Abbas ameongeza kuwa baada ya gazeti hilo kusisitiza kuwa hawana nia mbaya, serikali imezingatia utetezi huo na inawapa nafasi ya kujirekebisha zaidi.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )