Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, June 19, 2018

Rais Magufuli amemteua Jaji Lubuva kuwa Mwenyekiti

juu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Jaji Mstaafu, Damian Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imesema kuwa uteuzi wa Jaji Lubuva umeanza Juni 18, 2018.

Jaji Mstaafu Lubuva anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo, Peter Ngubullu.

Aidha, Jaji Mstaafu Lubuva alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) 2015

chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )