Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, July 11, 2018

Gigy Money afunguka kuwa ndoto yake kwa sasa ni kuzaa na Diamond pamoja na Idriss

juu
Mwanadada Gigy Money ambae kila siku huwa huwa haishiwi vituko  amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake ya sasa anatamani sana kuzaa na msanii Diamond Platnumz au Idriss Sultan kwa kuwa ni wanaume warefu na yeye anependa wanaume warefu, hivyo anaamini akizaa nao atapata watoto wazuri zaidi.

Gigy amefunguka hayo katika interview  ya kipindi cha The Play List kinachorushwa na TimesFM

"Natamnai kupata mtoto na Idris na Diamond kwa sababu naamini mtoto atakuwa mzuri kweli kweli , mimi ninapenda sana wanaume warefu kwakweli .Lakini pia siwezi kuwa kwenye mahusiano na Nay wa mitego."
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )