Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, August 3, 2018

Wolper: Siwezi kudanga na siku nikikamata mmoja ni mimba tu

juu
Msanii wa Filamu Bongo, Jackline Wolper amesema kitu ambacho hawezi kufanya ni kudanga. Wolper amefunguka hayo wakati akimjibu shabiki yake katika mtandao wa Instagram kufuatia mrembo huyo kuposti picha ya Rais wa Kenya na kuandika; My second home.
 
Sasa shabiki huyo alitupia comment yake kwenye post hiyo ambayo ilisomeka; "Siku Wakenya Watakukata ki******m ndo utajua ni second home au ni neighbor country we endeleaa tu kudangaaaa kwa waikikuyu"

Naye Jackline Wolper akajibu; "Siwezi kudanga na siku nikikamata mmoja ni mimba tu usijali, halafu kasome ujue maana ya kudanga.. na me kudanga siwezi, wanadanga watoto, am sorry".

Jackiline Wolper amekuwa nafari za mara kwa mara nchini Kenya kutokana na biashara zake hasa ile ya ushonaji kupitia duka lake la House of Stylish.
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )